Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
short circuit.Cheza nayo mkuu...shida nn inayo?
Hongera MkuuNitumie mfano harisi kwenye maisha yangu mwenyewe,
Hi ikupe mwanga wewe kuendelea kupigana kwenye hicho unachokifanya.
Tangia mdogo nlipenda sana mambo ya ufundi,hasa umeme na electonics kiujumla. Hata nyuzi zangu humu zimejikita zaidi kwenye mambo hayo.
Pengine nlikosa ada yakusomea mambo ya electronics au sifa za kujiunga na vyuo kupata elimu hiyo.
Ila kwakua nlikua na NIA thabiti nliendelea kujifunza kupitia smartphone yangu ya kipindi hicho(vodaphone).
Nlipenda sana mambo ya audio amplifiers,Nikapewa ushauri na baadhi ya watu kua niende ofisi moja iringa (jina kapuni) nkaombe kujitolea huku nikijifunza zaidi Walinikatalia!!
Hivyo kama wangenikubalia basi ingekua nikitoka chuo,basi nipite hapo kufanya kazi kadhaa jioni hadi walau saa3,4.
Hapo ndipo nlipoamua kutumia simu yangu kusoma na kutumia pesa kidogo (niliyopewa kama nauli na kula chuo) kununua components na kuanza kuunda circuits au Ramani za electonics (amplifiers)
Hivyo nilinunua vero board moja [emoji1369][emoji1369]na soldiering gun na soldering waya kiasi ya kuanzia.
Nlianza kuunda ramani ndogo bila ya mafanikio yoyote yale.
Zaidi ya yote nilikula hasara sana sababu ya makosa kadhaa ya ugeni wa kujifunza,
Nliharibu vitu kadhaa ikiwepo laptop yangu Samsung (NP300e5z) iPhone 3g yangu ya kwanza ndio ilitoa moshi mbele yangu [emoji28]
Yani una test mziki kama unapiga fresh kumbe waya wa umeme umegusana na ule wa kuleta mziki kutoka kwenye simu.
Na kwasababu sikua na fedha hi ilinibidi kusubiri hadi niwekeze tena fedha walau ifike 2000 nkanunue ic tena yakufanyia majaribio.
Kumbuka ic hizi nlikua nanunua palepale ambapo walinikatalia kwenda.
Kadri siku zilivyosogea nilizidi kujaribu na kuona matokeo + kwenye projects zangu.
Na kwa kudra za mungu nilianza kuletewa kazi kadhaa hapohapo nyumbani.
Hivyo nikitengeneza nikilipwa basi fedha hiyo naipeleka tena kununua components tena nyingine na nyingine.
Kwa upekee sana nashukuru mungu nlikuja kufahamu wapi nilikua naenda kinyume.
Na hapo ndio nkawa nmeweza kutengeneza circuits yangu ya kwanza.
[emoji1369] hi ilifanya kazi vizuri bila shida. Hivyo nkaendelea zaidi na zaidi hadi hapa nilipo. Japo nlikua siweki umeme mwingi(kadri ramani inavyoingiza umeme mwingi basi ndivyo inavyokua na nguvu
Hapa nikawa nimesha anza kuelewa kwa kiasi kipana.
Lakini hazikua kubwa sana
Hi mfano wa hizi subwoofer zitumikazo nyumbani.
Kwa baadae nikaanza zenye watts nyingi kwa matumizi makubwa.
Hi ni moja kati ya nilizofanya hiv karibuni
Na hii ni most powered sababu inatumia umeme mwingi
Na pengine una redio yako imekufa labda na ulipenda irudi
Inasukiwa amplifier kisha inawekwa humo ndani na redio yako itarud kwenye hari yake
[emoji1369]hapa tayari inafanya kazi. Siku moja nilipigiwa simu na mmiliki wa ile ofisi akinitaka nifike ofisini kwake,
Kidogo alistaajabu. Kama ni mimi. Alitaka nmfanyievkazi moja ,nikamwambia sawa ila kwa ghalama hizi’akaridhia akanilipa(pata kitu hapa) Niliendelea na naendelea kujifunza kila siku na kila wakati
Sababu inahitaji ghlama kubwa kulinda kile ulichonacho na kukiongezea thamani.
Siku zote Nataman nipate watu wa5 kwenye life yime yangu niwafundishewafikie hapo!
Shida ni kua wengi wao wanataka kutengeneza kile nlichofanya. Mwingine akisikiliza mziki wangu anataka kutengeneza kama mimi.
Mimi nataka mtu mwenye nia binafsi Aamue yeye binafsi. Ajitoe kwenye kujifunza
Sababu mimi nitakupa 1/10tu vingine utatakiwa kujifunza wew mwenyewe.
Keep it fighting. Until umefikia highest point kwenye maisha yako.
Ikiwa hujui unapoend , popote ulipo ni sawa
Ulijifunza mwenyewe kupitia mitandao bila hata ya muongozo wa mwalimu....??
Nipe Abc nianze wapi pia YouTube channel recommendationUkisema mwalimu unamaana kua?
Kuna ile unaongea na mafundi wenzio nao wana shere walichonacho kwako
Ile inakupa ujuzi zaidi
Pia kuna kaka yangu nae n mtata zaid huko alinipa mwanga zaidi
Nataka unipe Abc Kama nataka nijifunze nianze wapi mkuuSijakusoma mkuu