Maisha ni safari, usikate tamaa

Hongera Mkuu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ulijifunza mwenyewe kupitia mitandao bila hata ya muongozo wa mwalimu....??

Ukisema mwalimu unamaana kua?
Kuna ile unaongea na mafundi wenzio nao wana shere walichonacho kwako
Ile inakupa ujuzi zaidi
Pia kuna kaka yangu nae n mtata zaid huko alinipa mwanga zaidi
 
Ukisema mwalimu unamaana kua?
Kuna ile unaongea na mafundi wenzio nao wana shere walichonacho kwako
Ile inakupa ujuzi zaidi
Pia kuna kaka yangu nae n mtata zaid huko alinipa mwanga zaidi
Nipe Abc nianze wapi pia YouTube channel recommendation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…