Maisha ni yako, usikubali kutolewa mchezoni

Tate Mkuu chakula Cha ubongo ni hiki πŸ€’
Uko sahihi. Ukitaka kufanikiww katika maisha ni lazima uwe na malengo hasa. Lakini pia ni kazima ujiepushe kufanya makosa ambayo yanaweza kukurudisha chini.

Lakini kwa ujumla, tunatakiwa tutambue fika maisha yanataka mapambano. Hivyo kila mtu anatakiwa apambane kwa njia/nafasi yake, ili kuyafikia malengo uliyojiwekea.
 
Barikiwa Kaka, mchango wako umesomeka vizuriπŸ™
 
Chaliifrancisco Ume potea bro,lπŸ€”
Nilikuwa sijaona huu uzi bro.

Umeandika ukweli. Sina hata chakuongeza.

Simply, tuishi maisha yetu, tusikubali negativity. Tukubali kokosolewa na kujirekebisha, tusikubali kukatishwa tamaa (kurudishwa nyuma), tujifunze mambo mazuri kwa wengine waliofanikiwa.

Ila chamsingi tuishi na kufukuzia ndoto zetu.
 
Hakika Kaka, tujifunze kuzingatia yaliyo muhimu kwetu sote πŸ™πŸ’ͺ.
 
Huwa nakukubali Sana bro, uko ahead time πŸ˜€πŸ€’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…