Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #581
Mr Poor Brain Soma maarifa haya, kutoka kwa wazee wako😀🤒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi. Ukitaka kufanikiww katika maisha ni lazima uwe na malengo hasa. Lakini pia ni kazima ujiepushe kufanya makosa ambayo yanaweza kukurudisha chini.Tate Mkuu chakula Cha ubongo ni hiki 🤒
Barikiwa Kaka, mchango wako umesomeka vizuri🙏Uko sahihi. Ukitaka kufanikiww katika maisha ni lazima uwe na malengo hasa. Lakini pia ni kazima ujiepushe kufanya makosa ambayo yanaweza kukurudisha chini.
Lakini kwa ujumla, tunatakiwa tutambue fika maisha yanataka mapambano. Hivyo kila mtu anatakiwa apambane kwa njia/nafasi yake, ili kuyafikia malengo uliyojiwekea.
Aaah To yeye ndio kasema nadhani 😂Umesema naji wekesha kwa Nani😂😀
Nilikuwa sijaona huu uzi bro.Chaliifrancisco Ume potea bro,l🤔
Hakika Kaka, tujifunze kuzingatia yaliyo muhimu kwetu sote 🙏💪.Nilikuwa sijaona huu uzi bro.
Umeandika ukweli. Sina hata chakuongeza.
Simply, tuishi maisha yetu, tusikubali negativity. Tukubali kokosolewa na kujirekebisha, tusikubali kukatishwa tamaa (kurudishwa nyuma), tujifunze mambo mazuri kwa wengine waliofanikiwa.
Ila chamsingi tuishi na kufukuzia ndoto zetu.
Huwa nakukubali Sana bro, uko ahead time 😀🤒Nilikuwa sijaona huu uzi bro.
Umeandika ukweli. Sina hata chakuongeza.
Simply, tuishi maisha yetu, tusikubali negativity. Tukubali kokosolewa na kujirekebisha, tusikubali kukatishwa tamaa (kurudishwa nyuma), tujifunze mambo mazuri kwa wengine waliofanikiwa.
Ila chamsingi tuishi na kufukuzia ndoto zetu.
We ngoja ty😀🤔😂, Nita kuchomesha pia😀😂Aaah To yeye ndio kasema nadhani 😂
Bro, mimi niko in shumbles, hata andiko lako limenifungua akili kaka. Maisha huwa hayajali unajua nini au una akili kiasi gani. Tunatakiwa kuenda nayo sawa tu.Huwa nakukubali Sana bro, uko ahead time 😀🤒
Stay blessed 🙏💪, ngoja niku tag andiko jingine makini Kama hili🙏💪.Bro, mimi niko in shumbles, hata andiko lako limenifungua akili kaka. Maisha huwa hayajali unajua nini au una akili kiasi gani. Tunatakiwa kuenda nayo sawa tu.