Kwangu me usiwe na shaka kabisaJamn wachumba wa humu adi umkamate umetambika. Kwer kwer๐๐๐
Shayo na igbo ndo nini?I need Igbo and shayo๐คฃ๐๐
Kwanini unarahisisha kua nisiwaze ata kuku wa kienyeji kumla tu lazima jasho likutimke we umesema nisiwaze hii haijaingia ubongoni ๐๐๐Kwangu me usiwe na shaka kabisa
Kama hutaki basi๐๐๐Kwanini unarahisisha kua nisiwaze ata kuku wa kienyeji kumla tu lazima jasho likutimke we umesema nisiwaze hii haijaingia ubongoni ๐๐๐
Hili jambo ki public litakua na mashiko kwer au ndio minyambulio mwanzo mwisho๐Kama hutaki basi๐๐๐
Napata raaaa nikikuona oooooh๐Kwangu me usiwe na shaka kabisa
Eeeh shauri akoHili jambo ki public litakua na mashiko kwer au ndio minyambulio mwanzo mwisho๐
๐๐๐๐Wacha weeehNapata raaaa nikikuona oooooh๐
Ana furahisha genge๐๐๐, hajuu tuliko toka๐๐๐๐๐๐๐Wacha weeeh
Cc mshamba_hachekwi explain to her please ๐๐๐Shayo na igbo ndo nini?
Dahhh ๐๐๐๐Napata raaaa nikikuona oooooh๐
Mzee unakunywa soda gani? Maana hizi akili ni za mirinda nyeusi embu nipe namba yako nikuongezee nyingne M-pesaUzi huu nime uandika ili uwe Kama kengele ya ukumbusho, kwa kila mmoja wetu.
๐Maana kumezuka na Mambo ambayo yame kuwa Kama kikwazo, kwa baadhi ya watu katika safari ya maisha yao.
WIVU, kila mmoja wetu ana wivu katika maisha yake.
๐Ila baadhi ya wengi wetu tumekuwa na wivu ambao si rafiki katika maisha haya.
๐Ume ona mtu kajenga au ana kazi nzuri kukuzidi, mzee Pambana ufikie Malengo yako, jiulize yeye kafikaje hapo??. Zidisha juhudi na SI uchawi na husda.
SUALA LA MAPENZI, hapa ndo kama wabongo wengi tulipo rogwa, Kama Kijana una mengi ya kuzingatia katika maisha yako.
๐USI kubali kuyumbishwa au kupoteza muda wako, eti kisa kiumbe mwenye manyoya mwili mzima.
๐Kama uhusiano huo si rafiki basi achana nao mzee, Kumbuka una mengi na watu wengi Wana kutegemea wewe mpendwa.
AMINI KATIKA WAKATI SAHIHI, ndugu haya maisha Kuna watu tuna jipa stress za kipuuzi Sana.
๐Eti kisa fulani ana kazi au maisha mazuri, una Anza kuji ona wewe kama bwege uliye kosa mwelekeo.
๐Ina kupasa uzingatie katika barabara yako, na si njia ya mwingine.
๐Kama biashara haiendi vizuri, basi Tafuta namna ya kutafuta wateja, kwa maana Hakuna kitu kina kuwa kwa usiku mmoja.
-learn how to hold
-learn the right time to fold
-learn the right time to let go.
๐ I MEAN NO MALICE TO NOBODY
View attachment 2760528
Usijari bro iyo nyimbo yng mpya tutaipiga mtungo๐๐Dahhh ๐๐๐๐
๐ถSawa Wacha nijeEeeh shauri ako
Nifungulie ๐nipo mlangoni๐๐๐๐Wacha weeeh
Thanks for the compliment ๐๐ช, tuzidi kuzingatia yaliyo muhimu kwetu sote ๐๐.Mzee unakunywa soda gani? Maana hizi akili ni za mirinda nyeusi embu nipe namba yako nikuongezee nyingne M-pesa
Mtungo Tena๐คฃ๐๐Usijari bro iyo nyimbo yng mpya tutaipiga mtungo๐๐
Mi ndo nime mwambia I need Igbo and shayo๐คฃ๐๐binti manyonyo,
igbo=bangi
shayo=pombe
Eeeeh au utaki๐Mtungo Tena๐คฃ๐๐