Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Kwangu me usiwe na shaka kabisaJamn wachumba wa humu adi umkamate umetambika. Kwer kwer😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu me usiwe na shaka kabisaJamn wachumba wa humu adi umkamate umetambika. Kwer kwer😂😂😂
Shayo na igbo ndo nini?I need Igbo and shayo🤣😂😂
Kwanini unarahisisha kua nisiwaze ata kuku wa kienyeji kumla tu lazima jasho likutimke we umesema nisiwaze hii haijaingia ubongoni 😂😂🌊Kwangu me usiwe na shaka kabisa
Kama hutaki basi😂😂😂Kwanini unarahisisha kua nisiwaze ata kuku wa kienyeji kumla tu lazima jasho likutimke we umesema nisiwaze hii haijaingia ubongoni 😂😂🌊
Hili jambo ki public litakua na mashiko kwer au ndio minyambulio mwanzo mwisho😂Kama hutaki basi😂😂😂
Napata raaaa nikikuona oooooh🔊Kwangu me usiwe na shaka kabisa
Eeeh shauri akoHili jambo ki public litakua na mashiko kwer au ndio minyambulio mwanzo mwisho😂
😂😂😂😂Wacha weeehNapata raaaa nikikuona oooooh🔊
Ana furahisha genge😀😂😂, hajuu tuliko toka😂😂😀😂😂😂😂Wacha weeeh
Cc mshamba_hachekwi explain to her please 😂😀😀Shayo na igbo ndo nini?
Dahhh 😂😀😀😀Napata raaaa nikikuona oooooh🔊
Mzee unakunywa soda gani? Maana hizi akili ni za mirinda nyeusi embu nipe namba yako nikuongezee nyingne M-pesaUzi huu nime uandika ili uwe Kama kengele ya ukumbusho, kwa kila mmoja wetu.
👉Maana kumezuka na Mambo ambayo yame kuwa Kama kikwazo, kwa baadhi ya watu katika safari ya maisha yao.
WIVU, kila mmoja wetu ana wivu katika maisha yake.
👉Ila baadhi ya wengi wetu tumekuwa na wivu ambao si rafiki katika maisha haya.
👉Ume ona mtu kajenga au ana kazi nzuri kukuzidi, mzee Pambana ufikie Malengo yako, jiulize yeye kafikaje hapo??. Zidisha juhudi na SI uchawi na husda.
SUALA LA MAPENZI, hapa ndo kama wabongo wengi tulipo rogwa, Kama Kijana una mengi ya kuzingatia katika maisha yako.
👉USI kubali kuyumbishwa au kupoteza muda wako, eti kisa kiumbe mwenye manyoya mwili mzima.
👉Kama uhusiano huo si rafiki basi achana nao mzee, Kumbuka una mengi na watu wengi Wana kutegemea wewe mpendwa.
AMINI KATIKA WAKATI SAHIHI, ndugu haya maisha Kuna watu tuna jipa stress za kipuuzi Sana.
👉Eti kisa fulani ana kazi au maisha mazuri, una Anza kuji ona wewe kama bwege uliye kosa mwelekeo.
👉Ina kupasa uzingatie katika barabara yako, na si njia ya mwingine.
👉Kama biashara haiendi vizuri, basi Tafuta namna ya kutafuta wateja, kwa maana Hakuna kitu kina kuwa kwa usiku mmoja.
-learn how to hold
-learn the right time to fold
-learn the right time to let go.
👉 I MEAN NO MALICE TO NOBODY
View attachment 2760528
Usijari bro iyo nyimbo yng mpya tutaipiga mtungo😂😂Dahhh 😂😀😀😀
🚶Sawa Wacha nijeEeeh shauri ako
Nifungulie 😂nipo mlangoni😂😂😂😂Wacha weeeh
Thanks for the compliment 🙏💪, tuzidi kuzingatia yaliyo muhimu kwetu sote 🙏🙏.Mzee unakunywa soda gani? Maana hizi akili ni za mirinda nyeusi embu nipe namba yako nikuongezee nyingne M-pesa
Mtungo Tena🤣😀😀Usijari bro iyo nyimbo yng mpya tutaipiga mtungo😂😂
Mi ndo nime mwambia I need Igbo and shayo🤣😀😀binti manyonyo,
igbo=bangi
shayo=pombe
Eeeeh au utaki😂Mtungo Tena🤣😀😀