Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
ππππWependa zaidi angalia yasikupende kupitirizaThanks for the compliment ππͺ, tuzidi kuzingatia yaliyo muhimu kwetu sote ππ.
π Siku izi napenda majiπ€£π
Daah we dogoππ€£π€£π€£ππππWependa zaidi angalia yasikupende kupitiriza
Wata sema hatu zingatii itifakiππ€£π€£Eeeeh au utakiπ
Mlango mbona ulikua waziπNifungulie πnipo mlangoni
Aah kumbe me nkajua igbo ni naniiii na shayo ni naniiii.binti manyonyo,
igbo=bangi
shayo=pombe
ππππCc mshamba_hachekwi explain to her please πππ
Hajui eeeh basi em muhabarisheAna furahisha gengeπππ, hajuu tuliko tokaπππ
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji375][emoji375]Uzi huu nime uandika ili uwe Kama kengele ya ukumbusho, kwa kila mmoja wetu.
[emoji117]Maana kumezuka na Mambo ambayo yame kuwa Kama kikwazo, kwa baadhi ya watu katika safari ya maisha yao.
WIVU, kila mmoja wetu ana wivu katika maisha yake.
[emoji117]Ila baadhi ya wengi wetu tumekuwa na wivu ambao si rafiki katika maisha haya.
[emoji117]Ume ona mtu kajenga au ana kazi nzuri kukuzidi, mzee Pambana ufikie Malengo yako, jiulize yeye kafikaje hapo??. Zidisha juhudi na SI uchawi na husda.
SUALA LA MAPENZI, hapa ndo kama wabongo wengi tulipo rogwa, Kama Kijana una mengi ya kuzingatia katika maisha yako.
[emoji117]USI kubali kuyumbishwa au kupoteza muda wako, eti kisa kiumbe mwenye manyoya mwili mzima.
[emoji117]Kama uhusiano huo si rafiki basi achana nao mzee, Kumbuka una mengi na watu wengi Wana kutegemea wewe mpendwa.
AMINI KATIKA WAKATI SAHIHI, ndugu haya maisha Kuna watu tuna jipa stress za kipuuzi Sana.
[emoji117]Eti kisa fulani ana kazi au maisha mazuri, una Anza kuji ona wewe kama bwege uliye kosa mwelekeo.
[emoji117]Ina kupasa uzingatie katika barabara yako, na si njia ya mwingine.
[emoji117]Kama biashara haiendi vizuri, basi Tafuta namna ya kutafuta wateja, kwa maana Hakuna kitu kina kuwa kwa usiku mmoja.
-learn how to hold
-learn the right time to fold
-learn the right time to let go.
[emoji117] I MEAN NO MALICE TO NOBODY
View attachment 2760528

Yalaaaππ€£π€£π€£ππππ, cc mshamba_hachekwiAah kumbe me nkajua igbo ni naniiii na shayo ni naniiii.
Thanks for the compliment, tuzingatie yaliyo muhimu kwetu sote π[emoji419][emoji419][emoji419][emoji375][emoji375]
Aiseeeπ€£πππ, msalitiπ€£π€£π€Mlango mbona ulikua waziπ
Eeeh nikajua hivoYalaaaππ€£π€£π€£ππππ, cc mshamba_hachekwi
Mivurugano tuπ€£ππHajui eeeh basi em muhabarishe
πππππMivurugano tuπ€£ππ
Siku hizi una waza mambo ya ajabuπ€£πEeeh nikajua hivo
Dah zili pendwaπ€£ππππππππ