Maisha ni yako, usikubali kutolewa mchezoni

Maisha ni yako, usikubali kutolewa mchezoni

Nawakumbusha pia kuwa wenye nidhamu na juhudi katika kila jambo unalo lifanya kama kijana.
Kupenda starehe zisizo za lazima, zinaa na  ulevi pia ni chanzo kikubwa cha kukwamwisha mafanikio.
Yeah, sema ninge andika kwa lugha ya kikoloni. Inge wasumbua baadhi.
👉The moral of the story is to avoid distraction 🙏
 
Let's keep grinding
FB_IMG_16952913088373792.jpg
 
Back
Top Bottom