Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
🤓🤓Morning everyone, Red black, Aaliyyah, Joannah - kiumbee mwenye manyoya mwili mzima😄😂.
👉 Fabian Vitus, National Anthem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤓🤓Morning everyone, Red black, Aaliyyah, Joannah - kiumbee mwenye manyoya mwili mzima😄😂.
👉 Fabian Vitus, National Anthem
Are u gud bro😄😂
Yeah I'm gud.... VP weweAre u gud bro😄😂
Mkuu nmekuelewa sana, uzi wako umesimama vizuri haswa kwa kijana yeyote mwenye uelewa.Uzi huu nime uandika ili uwe Kama kengele ya ukumbusho, kwa kila mmoja wetu.
👉Maana kumezuka na Mambo ambayo yame kuwa Kama kikwazo, kwa baadhi ya watu katika safari ya maisha yao.
WIVU, kila mmoja wetu ana wivu katika maisha yake.
👉Ila baadhi ya wengi wetu tumekuwa na wivu ambao si rafiki katika maisha haya.
👉Umeona mtu kajenga au ana kazi nzuri kukuzidi, mzee Pambana ufikie Malengo yako, jiulize yeye kafikaje hapo??. Zidisha juhudi na SI uchawi na husda.
SUALA LA MAPENZI, hapa ndo kama wabongo wengi tuliporogwa, Kama Kijana una mengi ya kuzingatia katika maisha yako.
👉USI kubali kuyumbishwa au kupoteza muda wako, eti kisa kiumbe mwenye manyoya mwili mzima.
👉Kama uhusiano huo si rafiki basi achana nao mzee, Kumbuka una mengi na watu wengi Wana kutegemea wewe mpendwa.
AMINI KATIKA WAKATI SAHIHI, ndugu haya maisha kuna watu tuna jipa stress za kipuuzi Sana.
👉Eti kisa fulani ana kazi au maisha mazuri, una Anza kujiona wewe kama bwege uliye kosa mwelekeo.
👉Ina kupasa uzingatie katika barabara yako, na si njia ya mwingine.
👉Kama biashara haiendi vizuri, basi Tafuta namna ya kutafuta wateja, kwa maana Hakuna kitu kina kuwa kwa usiku mmoja.
-Learn how to hold
-Learn the right time to fold
-Learn the right time to let go.
👉 I MEAN NO MALICE TO NOBODY
View attachment 2760528
🤣🤣🤣🤣 Uliniviruga!kiumbe mwenye manyoya mwili mzima?binadamu wa wapi huyo?Morning everyone, Red black, Aaliyyah, Joannah - kiumbee mwenye manyoya mwili mzima😄😂.
👉 Fabian Vitus, National Anthem
Jana na Leo tupoMorning everyone, Red black, Aaliyyah, Joannah - kiumbee mwenye manyoya mwili mzima😄😂.
👉 Fabian Vitus, National Anthem
Haya kalike page ya kwanza-😄😂Mkuu nmekuelewa sana, uzi wako umesimama vizuri haswa kwa kijana yeyote mwenye uelewa.
Pamoja Sana mkuu, tuzingatie yaliyo muhimu kwetu soteMkuu nmekuelewa sana, uzi wako umesimama vizuri haswa kwa kijana yeyote mwenye uelewa.
😂😂😂😂🧪mwendo wa lab tu morning afternoon brother 🙏
Evening Mr Fabian Vitus 😆😆🤒😂😂😂😂🧪mwendo wa lab tu morning afternoon brother 🙏
Tumor kama hatumo😎Evening Mr Fabian Vitus 😆😆🤒
Au sio😆😂😂Tumor kama hatumo😎
Vipi mzeeAu sio😆😂😂
Wazeee mwisho nanjilinjii 😆😂Vipi mzee