Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Prove sasa....Niko nanjilinjii 😀, au njoo uone kunguru we
Tupo online hapa fanya maajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prove sasa....Niko nanjilinjii 😀, au njoo uone kunguru we
Niko nanjilinjii mkuu, serious 😀Prove sasa....
Tupo online hapa fanya maajabu
Kisa nini 😀Mimi sirudi tena
Uzi huu nime uandika ili uwe Kama kengele ya ukumbusho, kwa kila mmoja wetu.
[emoji117]Maana kumezuka na Mambo ambayo yame kuwa Kama kikwazo, kwa baadhi ya watu katika safari ya maisha yao.
WIVU, kila mmoja wetu ana wivu katika maisha yake.
[emoji117]Ila baadhi ya wengi wetu tumekuwa na wivu ambao si rafiki katika maisha haya.
[emoji117]Ume ona mtu kajenga au ana kazi nzuri kukuzidi, mzee Pambana ufikie Malengo yako, jiuluze yeye kafikaje hapo??. Zidisha juhudi na SI uchawi na husda.
SUALA LA MAPENZI, hapa ndo kama wabongo wengi tulipo rogwa, Kama Kijana una mengi ya kuzingatia katika maisha yako.
[emoji117]USI kubali kuyumbishwa au kupoteza muda wako, eti kisa kiumbe mwenye manyoya mwili mzima.
[emoji117]Kama uhusiano huo si rafiki basi achana nao mzee, Kumbuka una mengi na watu wengi Wana kutegemea wewe mpendwa.
AMINI KATIKA WAKATI SAHIHI, ndugu haya maisha Kuna watu tuna jipa stress za kipuuzi Sana.
[emoji117]Eti kisa fulani ana kazi au maisha mazuri, una Anza kuji ona wewe kama bwege uliye kosa mwelekeo.
[emoji117]Ina kupasa uzingatie katika barabara yako, na si njia ya mwingine.
[emoji117]Kama biashara haiendi vizuri, basi Tafuta namna ya kutafuta wateja, kwa maana Hakuna kitu kina kuwa kwa usiku mmoja.
-learn how to hold
-learn the right time to fold
-learn the right time to let go.
[emoji117] I MEAN NO MALICE TO NOBODY
View attachment 2760528
Pamoja mkuu, tuzingatie yaliyo muhimu kwetu sote 🙏Naunga hoja kwa 100percee
Unajitetea sana kwa maneno aiseeeNiko nanjilinjii mkuu, serious 😀
Njoo nanjilinjii tuonane😀Unajitetea sana kwa maneno aiseee
Basi tu naona sina chakufanya humuKisa nini 😀
Picha...Njoo nanjilinjii tuonane😀
SijakuelewaJipe muda, maana mlisha zoea jukwaa lenu.
👉So una jihisi Kama mgeni😀, wewe na Nuzulati
Verteller
Update chrome Tena, halafu Kama vipi tumia app.Halafu pm yangu inazingua. Yaani Nisha update chrome Ila bado
Arrgh 😂😂Verteller
Jipe muda, sometimes social network Zina kuwa Kama addiction.Sijakuelewa
Igiza tuuArrgh 😂😂
I mean no malice to nobodyVerteller
Mzee mi jobless na niko nanjilinjii 😁Igiza tuu
Sawa sawa .....Mzee mi jobless na niko nanjilinjii 😁