Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #461
Learn to build your own empire, don't just live- to wait orders from someone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweliUzi huu nime uandika ili uwe Kama kengele ya ukumbusho, kwa kila mmoja wetu.
👉Maana kumezuka na Mambo ambayo yame kuwa Kama kikwazo, kwa baadhi ya watu katika safari ya maisha yao.
WIVU, kila mmoja wetu ana wivu katika maisha yake.
👉Ila baadhi ya wengi wetu tumekuwa na wivu ambao si rafiki katika maisha haya.
👉Ume ona mtu kajenga au ana kazi nzuri kukuzidi, mzee Pambana ufikie Malengo yako, jiulize yeye kafikaje hapo??. Zidisha juhudi na SI uchawi na husda.
SUALA LA MAPENZI, hapa ndo kama wabongo wengi tulipo rogwa, Kama Kijana una mengi ya kuzingatia katika maisha yako.
👉USI kubali kuyumbishwa au kupoteza muda wako, eti kisa kiumbe mwenye manyoya mwili mzima.
👉Kama uhusiano huo si rafiki basi achana nao mzee, Kumbuka una mengi na watu wengi Wana kutegemea wewe mpendwa.
AMINI KATIKA WAKATI SAHIHI, ndugu haya maisha Kuna watu tuna jipa stress za kipuuzi Sana.
👉Eti kisa fulani ana kazi au maisha mazuri, una Anza kuji ona wewe kama bwege uliye kosa mwelekeo.
👉Ina kupasa uzingatie katika barabara yako, na si njia ya mwingine.
👉Kama biashara haiendi vizuri, basi Tafuta namna ya kutafuta wateja, kwa maana Hakuna kitu kina kuwa kwa usiku mmoja.
-learn how to hold
-learn the right time to fold
-learn the right time to let go.
👉 I MEAN NO MALICE TO NOBODY
View attachment 2760528
Umeme na maji Tz ishakuwa keroNini Tena crush wangu🤗😀🤔
Tuzingatie yaliyo muhimu kwetu 🙏💪, avoid distraction.Ni kweli
Yeah, ila Ukiwa pesa solar ya watt 200 Ina faa kabisa.Umeme na maji Tz ishakuwa kero
Tuzingatie yaliyo muhimu kwetu sote, avoid distractionBasi sawa.
Kwa sisi kajamba nani pesa tutazitoa wapi🤷🏼♀️Yeah, ila Ukiwa pesa solar ya watt 200 Ina faa kabisa.
Basi tuzi tafute🙃😀, ili tuishi with no stress😀Kwa sisi kajamba nani pesa tutazitoa wapi🤷🏼♀️
RIP Mohbadmshamba_hachekwi uku bali Uwezo wangu, nikiwa hai.
👉Sitaki ije ikawa Kama mwamba mohbad
View attachment 2764364
sikupingi
Naona naira Marley kasema Jana yeye hausiki, ila Kuna watu Wana mchafua
Wave ni kubwaa, Nilikuwa naangalia uchambuzi.sikupingi