Maisha ni yako, usikubali kutolewa mchezoni

Kila nikiona hii thread , nawaza hivi kumbe hivi vitu vinatokeaga yaaani for no reason , nakumbuka ujinga ujinga ule wa usela mavi kipindi nasoma , ile life la kishule shule, dah ujinga mwing mpka nkakosa muda wa ku concentrate na masomo

Psychological torture , kuona mtu wa maana eti kisa anatokea mjini kati sisi wengine tuliotokea vijijini ni washamba dahhhhhh

Ama kweli , mtu akivuka foolish age kwa kila dua lazima aweke maisha yake sawa

ama kweli. Anayekuja kukuhukunu huwezi mtambua ....kwa saa wa siku
 
Hi thread ni kwa ajili ya watu wote, walio choka kuishi katika Mambo yanayo wavurugia mipango yao
 
Back
Top Bottom