Maisha nikutu gani hasa?


Dah,JF ni zaidi ya elimu.
THANK YOU madam
 
Wakuu tusiende Mbali sana! Inshort Maisha ni Safari ya Mtu anapozaliwa hapa Dunian akikutana na Mambo/changamoto nyingi zenye Shida, Misukosuko, Raha,Faraja hadi pale anapoiga Dunia (Kufa) ndio kunakuwa mwisho wa Safari (Maisha) yake.
Ni hvyo tu Wakuu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Jee watoto wadogo na matahira hawana maisha?
Jee wale wagonjwa wa akili wanaopata ufahamu na sometimes kurudi katika ugonjwa wao wa akili, wanapata maisha na sometimes kukosa maisha?

Nafikiri maisha yapo kwa watu walio timamu tu,wengine wana exist tu.
 

Mkuu kuna njia kuu mbili za kudifine maisha:
1-Subjective: ni difinition ya mtu kutokana na hali halisi anayokutana nayo!
Hapa kuna walodifine:
Life is problem!
Maisha ni pale unapojitambua!
Life is where you get what you want! Thus why, wengine kutokana na umasikini wao hujiambia/huambiwa sina/huna maisha!
...
Kundi hili limeonekana kutotoa maana halisi ya maisha!
...
2-Objective:
Kundi hili shortly limedifine 'Maisha ni uhai' kwa mantiki hiyo, kila aliehai anaishi/anamaisha, either anajitambua or hajitambui ni maisha! Either ni mazuri or mabaya ni maisha!
...
Kundi hili limeonekana kutoa maana halisi ya maisha ingawa kuna wanaopinga kuhusu maana yao ya maisha!
...
Mtazamo wangu:
nakubaliana na Objective meaning of life!
Na mambo ya kujitambua, kuwa na kipato pamoja kukosa strong challenges is what makes life good! Ikimaanisha hata ukivikosa hivyo hamanishi huna maisha but isomeke unamaisha mabovu/magumu!
 
Last edited by a moderator:

Thank you Mashaxizo.
 
Last edited by a moderator:
Ili ujue maana ya maisha lazima ujue maNa ya UHAI,tofauti n hapa hitapata jibu la maana.maana ukiuliza nini maana ya maisha ninaimani kila mtu anatafsiri yake,kutokana na anavoishi,lakini ukiuliza nn maana ya UHAI utapata maana ya maisha katika sentesi ya pili wakati mtu anafafanua UHAI,
 

I love your analysis. Lakini, mimi being agnostic naona umenikwaza kidogo.
Hapo pekundu na bluu. Je, does our existence begin prior to our being conceived?

Mkuu Kiranga njoo unakosa uhondo.
 

Ok! Nini maana ya UHAI?
 
Kufika na kuondoka duniani siku usizochagua (birth and deathdate)...now what happens in between ndo maisha yako,na maisha kwa ujumla ni yale unayoyaona kwako na yanayotokea kwa wengine
 
Kufika na kuondoka duniani siku usizochagua (birth and deathdate)...now what happens in between ndo maisha yako,na maisha kwa ujumla ni yale unayoyaona kwako na yanayotokea kwa wengine

Kula like mkuu,short and clear ??
 
maisha ni mfumo wowote utaoamua wewe kuishi kupigana vita iliyopo ya fikra na kweli and life is a learning process,yani tupo darasani every time and day we are learning and thinking ,hata maongezi ya watu ni kushindana yoyote yale fanya research
 


Aiseeeeee zamani nilikua nikijituma najituma hasa. hahahaha. Maelezo yote haya?
 
I love your analysis. Lakini, mimi being agnostic naona umenikwaza kidogo.
Hapo pekundu na bluu. Je, does our existence begin prior to our being conceived?

Mkuu Kiranga njoo unakosa uhondo.
To me, yes. Na ndio maana nimetoa mfano wa hilo tone na maji. Conception ni muda ambao tunaanza maisha hapa duniani. Ila we existed before and we will exist after haya maisha sababu nafsi inaishi milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…