Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
- Thread starter
-
- #41
Aiseeeeee zamani nilikua nikijituma najituma hasa. hahahaha. Maelezo yote haya?
I don't know... Nadhani nakua sina muda kama zamani. Pia kiwango changu cha subra kwa wana JF kimepungua sana, nahisi ni kupoteza muda kujadili hoja maana wengi hatuchelewi kuporomosha matusi au maneno machafu.What happened madam,kilicho pelekea usijitume sana now?
Life is pre not defined,life is an open opportunity
opportunity for what?
Make Living
why live
Hahahaha.....!!?
Do you want to find Int[(sinX)/X]dx...!!?
what is sinX
Unatafuta intergral ya Sine X /X...
sine ni nini?
unatafuta ya nini huku unajua ipo?
Infinity Series...Reality sidhani kama unataka kuleta hoja..