Maisha nikutu gani hasa?

Maisha nikutu gani hasa?

Maisha Ni vle unavyoishi Hakuna la zaid Ni vle unavyoish yakupasa iwe mbishi!.Na kuhusu uhai labda Hapo wanamaanisha life xpectance. Sku znavyozd kwenda Inasemekana umri Wa maisha ya kuishi binadamu unapungua kwa kadri sku AMA miaka inavyjongea.
 
What happened madam,kilicho pelekea usijitume sana now?
I don't know... Nadhani nakua sina muda kama zamani. Pia kiwango changu cha subra kwa wana JF kimepungua sana, nahisi ni kupoteza muda kujadili hoja maana wengi hatuchelewi kuporomosha matusi au maneno machafu.
 
To know what life is, depends on the school of thought you go for.
 
Maisha ni dhana tu inayokuja kutokana na muda wa kuzaliwa na kufa huku ikiambatana na historia mbalimbali ndani ya dhana hiyo.
 
Back
Top Bottom