Maisha niliyoyapitia nikiwa na umri wa miaka 8-14

Maisha niliyoyapitia nikiwa na umri wa miaka 8-14

Aha kumbe mlikuwa mnahamia sehemu nyingine. Pole sana
ulishawai vuka kisiwa kimoja adi kingine kwa mtumbwi? watu walikuwa saba , na vidumu (vya lita 5)vilikuwa vitatu, walikuwa wanapokezana adi tukafika nchi kavu. Kumbuka ni watu wanaojua kuogelea kwa sana, sema ile mtu akichoka anapewa kidumu ashikilie wakati anapumzika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom