Maisha ninayoishi huku Nanjilinji ni ya kujitenga tayari

Maisha ninayoishi huku Nanjilinji ni ya kujitenga tayari

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Vifaa ninavyo nunua dukani ni sabuni, mafuta ya taa na ya kula, chumvi, sukari na majani ya chai.

Asubuhi chai inakwenda na mihogo na viazi kutoka shambani. Siku nyingine ni ugali na kisamvu uliobaki jana.

Mchana ninakuwa shamba na jioni ninakula ugali wa mihogo na jogoo.

Nijitenge vipi hapa, Korona labda niipate kutoka kwa kuku na bata.
 
Back
Top Bottom