Maisha Plus acheni kutuongopea

Maisha Plus acheni kutuongopea

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
Tunajua kuwa maisha plus ni show ya uhalisia ila kwa kikichotokea leo Masoud na wenzako mmetuongopea tena uongo wa wazi sijajua mna lengo gani

Uongo huo ni hao washiriki wa kike kulala juu ya mti, pasipo kutokea kituko chochote kama vile mtu kusinzia na kujikuta kadondoka toka juu ya mti kwani na sema hivi ni vigumu sana mtu ambaye hajawahi kukesha kwa Mara ya kwanza akalala juu ya mti ikiwa hana hofu yani akili imetulia mtu ambaye anaweza kulala juu ya mti ni mtu ambaye kajificha yani anakimbia tatizo fulani huyo anaweza

Kwa watu ambao wamewahi kukesha watakuwa mashahidi usingizi hauna adabu haiwezekani mtu aliyekesha juu ya mti eti anashuka na furaha

Huo ni uongo acheni tuongopea badilikeni
 
"mdundo ngoma sana, post: 18114390, member: 346990"]Ukiahidiwa pesa inawezekana mjomba na wamelala.mi nilisha lala kwenye maji[/QUOTE]
Ulilala kwenye maji kwa sababu na sababu unaweza kuwa ni hofu sawa hao wameaidiwa pesa lakini kwa hilo tendo lazima mtu angeshindwa ni zoezi gumu sana hilo ikiwa unakumbuka maisha plus season one ilitolewa zoezi tena likiambata na Zawadi zoezi ilikuwa wakae masaa kama sijasahau masaa 48 bila kusinzia vijana wengi walishindwa aliwezaga mmoja tu na hao walikuwa chin si juu ya mti
 
Sina ela[emoji17]
valentina chukua taxi njoo hapa sinza kwa remmy "nikugaie".hiyo ya taxi nitalipa mimi.
d994605bf2237ed972f92c3724a49457.jpg
 
Back
Top Bottom