princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
katika vipindi sivifatilii/ sivipendi
maisha plus..
tangu imeanzishwa sijui hata inahusu nini
maisha plus..
tangu imeanzishwa sijui hata inahusu nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusio na azam tv tuna miss sana hicho kipindi[emoji17]
Kwanini usinunue mrembo?
Sina ela[emoji17]
Hua naona baadhi ya vijana wakikumendea humu.
Wanashindwa kukufungia Azam kweli?
Wamefulia[emoji17]
Mimi natuma LG 53inch kwa precision air mchana huuNitaagiza mafundi waje kukuwekea weekend hii.
Maisha jumlishaMaisha Plus ndo nini
Am waiting[emoji4]Mimi natuma LG 53inch kwa precision air mchana huu
Njoo mti mmojaNiko apa kamanyola... Njoo basi
poa...na kuhusu pesa,nikuletee shilingi ngapi?...usiogope,wewe taja kiasi chochote natakuja nacho.nipo vizuri.
[emoji102]Leta zote
Inawezekana kabisa, nimewah kulala juu ya mti zaidi ya siku tatuTunajua kuwa maisha plus ni show ya uhalisia ila kwa kikichotokea leo masoud na wenzako mmetuongopea tena uongo wa wazi sijajua mda lengo gani
Uongo huo ni hao washiriki wa kike kulala juu ya mji, pasipo kutokea kituko chochote kama vile mtu kusinzia na kujikuta kadondoka toka juu ya mji kwani na sema hivi ni vigumu sana mtu ambaye hajawahi kukesha kwa Mala ya kwanza akalala juu ya mji ikiwa hana hofu yani akili imetulia mtu ambaye anaweza kulala juu ya mti ni mtu ambaye kajificha yani anakimbia tatizo furani huyo anaweza
Kwa watu ambao wamewahi kukesha watakuwa mashahidi usingizi hauna adabu haiwezekani mtu aliyekesha juu ya mti eti anashuka na furaha
Huo ni uongo acheni tuongopea badilikeni
Jaribu na mochwari! Nitafute kwa muongozoInawezekana kabisa, nimewah kulala juu ya mti zaidi ya siku tatu
Naomba kukusindikiza my wiiLeta zote
inawezekana, maana walifunga nguo zikawa kama swing beds!Tunajua kuwa maisha plus ni show ya uhalisia ila kwa kikichotokea leo masoud na wenzako mmetuongopea tena uongo wa wazi sijajua mda lengo gani
Uongo huo ni hao washiriki wa kike kulala juu ya mji, pasipo kutokea kituko chochote kama vile mtu kusinzia na kujikuta kadondoka toka juu ya mji kwani na sema hivi ni vigumu sana mtu ambaye hajawahi kukesha kwa Mala ya kwanza akalala juu ya mji ikiwa hana hofu yani akili imetulia mtu ambaye anaweza kulala juu ya mti ni mtu ambaye kajificha yani anakimbia tatizo furani huyo anaweza
Kwa watu ambao wamewahi kukesha watakuwa mashahidi usingizi hauna adabu haiwezekani mtu aliyekesha juu ya mti eti anashuka na furaha
Huo ni uongo acheni tuongopea badilikeni
[emoji85] [emoji85] [emoji100] [emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wamefulia[emoji17]