Maisha Plus acheni kutuongopea

Maisha Plus acheni kutuongopea

katika vipindi sivifatilii/ sivipendi

maisha plus..
tangu imeanzishwa sijui hata inahusu nini
 
Tunajua kuwa maisha plus ni show ya uhalisia ila kwa kikichotokea leo masoud na wenzako mmetuongopea tena uongo wa wazi sijajua mda lengo gani

Uongo huo ni hao washiriki wa kike kulala juu ya mji, pasipo kutokea kituko chochote kama vile mtu kusinzia na kujikuta kadondoka toka juu ya mji kwani na sema hivi ni vigumu sana mtu ambaye hajawahi kukesha kwa Mala ya kwanza akalala juu ya mji ikiwa hana hofu yani akili imetulia mtu ambaye anaweza kulala juu ya mti ni mtu ambaye kajificha yani anakimbia tatizo furani huyo anaweza

Kwa watu ambao wamewahi kukesha watakuwa mashahidi usingizi hauna adabu haiwezekani mtu aliyekesha juu ya mti eti anashuka na furaha

Huo ni uongo acheni tuongopea badilikeni
Inawezekana kabisa, nimewah kulala juu ya mti zaidi ya siku tatu
 
inawezekana, maana walifunga nguo zikawa kama swing beds!

kwahiyo hofu ya kuanguka tena hamna unajiachia tuu unaupiga usingizi very burudani!
 
Back
Top Bottom