REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Tunajua kuwa maisha plus ni show ya uhalisia ila kwa kikichotokea leo Masoud na wenzako mmetuongopea tena uongo wa wazi sijajua mna lengo gani
Uongo huo ni hao washiriki wa kike kulala juu ya mti, pasipo kutokea kituko chochote kama vile mtu kusinzia na kujikuta kadondoka toka juu ya mti kwani na sema hivi ni vigumu sana mtu ambaye hajawahi kukesha kwa Mara ya kwanza akalala juu ya mti ikiwa hana hofu yani akili imetulia mtu ambaye anaweza kulala juu ya mti ni mtu ambaye kajificha yani anakimbia tatizo fulani huyo anaweza
Kwa watu ambao wamewahi kukesha watakuwa mashahidi usingizi hauna adabu haiwezekani mtu aliyekesha juu ya mti eti anashuka na furaha
Huo ni uongo acheni tuongopea badilikeni