Maisha raha sana

Maisha raha sana

scrutinize

Member
Joined
Jan 14, 2022
Posts
15
Reaction score
11
Wakuu mwenza wa mshambuliaji mwenye ushawishi duniani CR7 anasema imemchukua miezi 6 kuzoe mazingira ya nyumba ya mmewake
Binafsi sio shabiki sana wa CR7 lakini navutiwa na maisha yake nnje ya kusukuma ndinga
Kazi ni kipimo Cha utu
FB_IMG_1643556633661.jpg
 
Maisha raha sana mkuu au maisha ya Ronaldo raha sana?

Sisi huku Kazimzumbwe ambako Serekali badala ituletee maji ya bomba inatumia hela kuendesha kesi ya ugaidi ambapo mashahidi wanahangaika kuliko washtakiwa mbele ya mahakama kuna raha gani mkuu?
 
Hiyo kesi inakufanya ushindwe kuwaza hata vitu vingine
 
Back
Top Bottom