EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
hahhh? Muda bado tunao ndugu yangu, ni kujipanga tu...
Mkuu sidhani kama ni kujipanga tuu. Kama hili litawezekana Tanzania, tutahitaji a completely overhaul of our culture ambayo ina include the way we live. Kuishi kwenye hilo wheel of life inahitaji time management. Kwa Watanzania, linapokuja suala la time management, we are useless. Hatujali kabisa muda. Unaweza ukawa una manage muda wako vizuri lakini ukakwamishwa na watu wengine. Mfano, unaweza ukawa umepanga kwenda kufanya check up ya afya yako for one hour, then ukitoka hapo uingie msikitini/kanisani mara moja, then gym, kabla ya kwenda kuwatembelea ndugu na jamaa. Unafika hosipitali na kusubiri zaidi ya masaa matatu kufanyiwa hiyo check up. Hapo itabidi either u cancel msikitini/kanisani, gym au kuwatembelea ndugu na jamaa, ili uwahi nyumbani kabla watoto hawajalala. Kwa hiyo the wheel of time ni crucial sana ili kufanikiwa kwenye the wheel of life.
Kama nilivyosema mwanzo, the wheel of life is so artificial. Tena nahisi aliyetengeneza hii wheel of life atakuwa alichakachua the Buddhists' wheel of life which symbolizes "the endless cycle of existence and suffering" of human being." With its six realms, it is held up to us as a mirror by Yama, the god of death who send to human beings the messengers of approaching old age, sickness and death.
Wheel of life ya ukweli and its six realms.
1. Heaven: the home of gods. Hapa ni full enjoyment inhabited by blissful, long-lived beings and happiness.
2. Humanity: Japokuwa wanadamu tuna suffer, tuna greatest chance of enlightenment.
3. Angry gods: these are warlike beings who are at the mercy of angry impulse.
4. Hungry ghosts: these unhappy beings are bound to the fringes of human existence, unable to leave because of particularly strong attachments. They are unable to satisfy their craving, symbolised by their depiction with huge bellies and tiny mouths.
5. Animal: This is undesirable because animals are exploited by human beings, and do not have the necessary self-awareness to achieve liberation.
6. Hell realms: people here are horribly tortured in many creative ways, but not for ever - only until their bad karma is worked off.
Source: BBC - Religions - Buddhism: The Buddhist universe
Lakini nafikiri the wheel of life ya kuchakachua inaweza kusaidia ku set priorities. You cannot achieve everything you desire or the world want you to achieve in your life. But there are things you good at. Prioritize on those you're good at. The wheel of life inaweza kukusaidia kujua dimenstions muhimu za maisha yako. Ukishazijua hizo dimensions, then unaweza ku set priorities. Kama you are good at making money and you love making money then concentrate on it. Kama wewe ni mzuri kwenye mambo ya kidini, then ya Kaisari mwachie Kaisari. Do what make you feel better. Otherwise, utaji confuse.