Maisha Vs Muda,...Unatosha?!

Tujitahidi kuwa happy most of the time.That is also one of the secret weapons towards living a healthy life.Health and hapiness goes hand to hand.Inasemekana ukiishi miaka 70,unatumia jumla ya miaka 30 kulala.Miaka 10 ya matatizo kwenye maisha ambayo hutokea(assume hujawahi kufungwa jela)Na pia toa miaka 18 ya uminor ambayo unaishi chini ya masharti ya wazazi nk.Kwenye hiyo miaka 70,unabakiwa na miaka 12 ambayo inahitaji hiyo balance kama family,work etc.Life is too short.Just make sure you know what you want and above all what makes you happy and then from there just have fun.The key is hapiness no matter what you do.I mean in a positive way.
 

Mkuu umegusa kitu cha maana sana..yaani tunawezaje kuoanisha “wheel of life” na Teke-nolojia” kama ambavyo tunavyoikumbatia katika maisha na utamaduni wetu huku uswazi. Kwanza naamini huku nyumbani uswazi teknolojia tunayoitumia ni kama tone la maji au trailer la movie ya kihindi ya Amitabah Bachachan kutokana na matatizo ya uchumi na underdeveloped infrastructures ambazo vinachangia sisi kutambaa badala ya kukimbia kuelekea kwenye maendeleo.

Sehemu kubwa ya teke-noligia tunayoitumia ni mawasaliano hasa ya simu ambayo yamefika hadi kwa babu kule Loliondo. Albeit, gharama yake ni kubwa zaidi ya mkate wa kila siku. Kufungua MMU ya JF inabidi ufanye timing na Voda cheka internet na ili kubana matumizi ya Call time unaongea kwa haraka kama uko kwenye Marathon. Ni tofauti na watani zetu wa jadi watu weupe ambao wametangaza Internet ni haki ya kila kiumbe.

Hata hivyo, sehemu kubwa ya teke-lojia inayotamba hapa uswazi bongo ni mawasiliano hasa simu za viganja ..Kuna kila aina ya simu ambazo nimebuniwa kwa ajili ya wale walioendelea ..lakini nasi katika kukimbizana na teke-nolojia tukaambulia kuwa kwenye msafala ..matokeo yake utakuta mjomba wangu kule mfaranyaki amenunua iphone au blackberry ambayo anaishia kutuma sms na kupiga picha za mbuzi na kondoo wake = 5 or 10% ya matumizi.. utaona hizi simu na internet zimeingilia kwa kiasi kikubwa njia na utamaduni wetu wa mawasiliano..Badala ya mtu kupata “shikamoo” ambayo kwa bahati mbaya maana yake “niko chini ya miguu yako” unapata Sms..”mambo dia”.. Katika tamaduni nyingi za Afrika ..values zetu ziko kwenye nidhamu.. lakini je tutawezaje kutumia simu, kompyuta, Ipad, internet and at the same tunaendeleza values zetu? Je sisi ni malimbukeni? Najua hii inawezekana..kwani badala ya kumtumia sms baba yangu kule Misungwi naweza kumpigia simu na kuanza kumwamkia..lakini mbona ..nikiweka jero siwezi hata kusema kitu.. Anyway.. Nitamtumia mzee ..sms..na ili kubana matumizi nitaandika in short..Mambo ni kama hivyo kwa wife.. na watoto wangu.. Pia, nikitaka kupitia Pub..nitaandika sms kwa wife..foleni iko hadi bagamoyo..naye ataniandikia ya kwake imefika Kisarawe.. ameamua kusubiri kwenye salon ya shoga yake..Mkuu Chain hii ya nyumba moja itaenda na kufanya jamii..na kuua kabisa utamaduni wetu wa kuongea kwa heshima na si kuongea tu bali hata ku-demonstrate kwa vitendo..

Kwa upande wa internet..kwa ulimbukeni wetu tunachota kila kitu..najua internet ndio maktaba kuu iliyopo hapa duniani..lakini ni nani atakaye waongoza vijana wetu? Kwenye internet unaweza pata kila kitu kizuri mfano jana nili- Build komputer yangu kupitia Youtube wakati sina elimu yeyote kwani wakati niko shule nilikuwa napishana na mwalimu wa sayansi mlangoni yeye anaingia na mimi natoka kwani sikupenda sharubu zake. Sasa kama unaweza kujifunza mambo mazuri kwenye internet pia unaweza kujifunza mambo mabaya.. Ni nani ana-control familia yake.. hapo tunarudi pale pale kweye mada ya “wheel of life”

Mimi naona huku nyumbani uswazi tumechanganya mambo kwa kukumbatia teke-nologia albeit tumeshika miguu yake badala ya kichwa. Na hata kama tumenusishwa hiyo teke-nologia basi imetuchanganya hadi tunasahau miiko, nidhamu, utamaduni..yaani tunakuwa kama mtoto aliyepekwa kwenye duka la candy .. anataka kula kila kitu bila hata kujua madhara yake ya baadaye.. Nashukuru kuna wachache tumebahatika kukutana na kubadilishana mawazo hasa humu MMU.. yaani tunajifunza sana.. na Thanks..tunabadilika taratibu.. Lakini what about other folks?
 
Hii post imenifanya niote aisee...

Hadi nahisi kahoma fulani, i spent 36 hours without lepe la usingizi ati namalizia paper yangu ili nipae zaidi anga la fani, mwisho napisa simu (long distance) kumsalimia mamsap, halafu nasahau hata nimepiga simu wapi, niseme nini wala nianzie wapi... in the end, kichwa kikauma, mwili ukaishiwa na nguvu na nikaanza kupata depression ya "how did i get here"??

Kweli the best thing a man can do is to be a man for his family, be professional for his colleagues and be a gentleman to his peers... is this possible?
 
Damn life...... Yani hata ratiba ya kuongea na Mungu inakatishwa na beer.... Beer my ass!
 

lol!...aisee umetoa mchanganuo mzuri sana. Ubarikiwe.
Kiukweli bila kujitambua, technolojia inatutumia ipasavyo, tutake tusitake.

Japo wengi wetu FACEBOOK imetuwezesha kufukua mavumbili tuliopoteana nao hata miaka ishirini iliyopita,
mobile fone kutuunganisha na mawasiliano ya haraka kuliko zamani...lakini kiukweli mpaka sasa tunaitumia tekinolojia
hiyo ki luxury zaidi....kuliko kujenga kama ulivyotanabahisha. Sitaingia deep....kilio cha 'hizi simu za mkononi' kipo JF
kila wiki.

Ila, kimbembe kinakuja kwenye PG (parental Guidance) kuanzia kwenye filamu, Website access, etc...
Wazazi wengi teknolojia imewapitia pembeni. Hata uwezo wa kuliadress hilo na watoto wao imekuwa shughuli.
Mfano; Mabinti wadogo wanapigwa picha za utupu kwa mobile fones, within minutes zinakuwa zishakuwa uploaded kwenye Laptop na kuwa forwarded kwenye emails na mitandao mbali mbali. Je, bila ukaribu na wanao utawezaje kuwaonya, au kuwaliwaza wanapoathirika na matukio kama hayo ya udhalilishaji?

huo ni mfano mmoja wapo wa kuyaachia maisha yaendelee tu bila control yoyote kwa kisingizio huna muda.


aaahhaaaaaaaa.... i ws a little bit worried about the arse

Mkuu nipo bize nabalansi equation ya mbu na in 36 months ntakua nimefanikiwa

36months = 3years kaka,...haya kila la heri.
 
aaahhaaaaaaaa.... i ws a little bit worried about the arse

Mkuu nipo bize nabalansi equation ya mbu na in 36 months ntakua nimefanikiwa
Hivi 36 months kuna weekend ngapi hapo?.....damn beer!
 
Hivi 36 months kuna weekend ngapi hapo?.....damn beer!
mkuu ukitaka kujua ni muda mfupi sana fanya miaka mitatu gawa kwa arobaini na ushee niliyonayo zidisha mara mia

its an achievable target.... si maamuzi magumu hayo
 
aaahhaaaaaaaa.... i ws a little bit worried about the arse

Mkuu nipo bize nabalansi equation ya mbu na in 36 months ntakua nimefanikiwa

Mhhh! Mkuu! in my opinion that is too long. Try to reduce that duration to 18 months (if possible)
 

Usijali Kloro, better late than never!!!..Thanks a bunch🙂)

Make sure unajitahidi kufanyika kazi 'gurudumu la maisha'...he he
 
Reactions: Mbu
Loh watu wengine wachokozi! Sasa ID ya Mbu, kuchangia kwa Mjw1 na kuwa mkewe kuna uhusiano gani wajameni!!?

Yaani mimada inayoanzishwa na Mbu, ikipata comment zako baaaasi! Wala haiitaji mtu mwingine kuchangia ili inoge!
Mimi huwa nikionaga hivi nageuka kuwa msomaji tu, nikichangia basi nimekohoa tu
Endeleeni hivyo hivyo bana.
 
Reactions: Mbu
Yaani mimada inayoanzishwa na Mbu, ikipata comment zako baaaasi! Wala haiitaji mtu mwingine kuchangia ili inoge!
Mimi huwa nikionaga hivi nageuka kuwa msomaji tu, nikichangia basi nimekohoa tu
Endeleeni hivyo hivyo bana.

Asente ndugu, lol...ukiona hivyo ujue tunajitahidi ku balansi 'guludumu' na mzunguko wa maisha...he he he!

...all in all. nashukuru sana huu mgao wa umeme unavyotusaidia kubalansi vile vile...
yaani hakuna cha feni, redio wala tv...mtake msitake mtakaa kibarazani kufunga upepo, mkiongea yaliyojiri
mchana kutwa...mbaya zaidi inabidi usicheze mbali na nyumbani,...sungu sungu bila kupenda maana vibaka nao
hawaimbiwi wanacheza....

Badala ya kulala usiku wa manane, ...saa nne tushavuta 'udugu wa shuka!'
Mgao na udumu milele na milele...amin

NB;
 
Hahh wewe Mbu una visa sana eti tukumbuke kupanga uzazi hahhh haya bwana umeme unatulazimisha kufunga vipakatapaja vyetu kwa ulazima.

Shughuli kwetu sie tulozoealala saa saba nane usiku, tunakodoa macho darini kama fundi saa alopoteza mshale wa saa mchangani mwe
 

...nawe tatizo lako hata nikuimbieje husikizi nyimbo zangu, mpaka nikung'ate ndio unajifanya kukurupuka aarrghhh...
jipangie muda bana....lol!

usiku wa leo wakizima tena umeme, washa mshumaa saa nane na dakika hamsini na tisa (2:59am) ujiangalie kwenye kioo,..kisha uje kunambia uliona nini...~
 
Great thinker at work
 
Reactions: Mbu



"...Value has a Value only if its Value is Valued!"



...maneno juu ya msitari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…