Maisha Vs Muda,...Unatosha?!

Maisha Vs Muda,...Unatosha?!

Tujitahidi kuwa happy most of the time.That is also one of the secret weapons towards living a healthy life.Health and hapiness goes hand to hand.Inasemekana ukiishi miaka 70,unatumia jumla ya miaka 30 kulala.Miaka 10 ya matatizo kwenye maisha ambayo hutokea(assume hujawahi kufungwa jela)Na pia toa miaka 18 ya uminor ambayo unaishi chini ya masharti ya wazazi nk.Kwenye hiyo miaka 70,unabakiwa na miaka 12 ambayo inahitaji hiyo balance kama family,work etc.Life is too short.Just make sure you know what you want and above all what makes you happy and then from there just have fun.The key is hapiness no matter what you do.I mean in a positive way.
 
…… teknolojia imeingia, lakini je? Tunaitumia ipasavyo hiyo teknolojia, au teknolojia inatutumia ipasavyo?

…... Leo hii kuna Laptops, laptops zimekuwa lap top hasaaaaaa...kila wakati zipo mapajani!..Kazini, majumbani, basi hata kwenye social gatherings?...kwa u busy gani hasa?...upo outing na mamsap, nae yumo busy kwa sms/email, hah? yaani hakuna kabisa muda wa 'ubinaadamu?' ...kuna haja ya kuangalia teknolojia nasi twaipokeaje kiasi kwamba familia zinapoteza muelekeo na kukosa muda wa ki-ubinadamu!..

Mkuu umegusa kitu cha maana sana..yaani tunawezaje kuoanisha “wheel of life” na Teke-nolojia” kama ambavyo tunavyoikumbatia katika maisha na utamaduni wetu huku uswazi. Kwanza naamini huku nyumbani uswazi teknolojia tunayoitumia ni kama tone la maji au trailer la movie ya kihindi ya Amitabah Bachachan kutokana na matatizo ya uchumi na underdeveloped infrastructures ambazo vinachangia sisi kutambaa badala ya kukimbia kuelekea kwenye maendeleo.

Sehemu kubwa ya teke-noligia tunayoitumia ni mawasaliano hasa ya simu ambayo yamefika hadi kwa babu kule Loliondo. Albeit, gharama yake ni kubwa zaidi ya mkate wa kila siku. Kufungua MMU ya JF inabidi ufanye timing na Voda cheka internet na ili kubana matumizi ya Call time unaongea kwa haraka kama uko kwenye Marathon. Ni tofauti na watani zetu wa jadi watu weupe ambao wametangaza Internet ni haki ya kila kiumbe.

Hata hivyo, sehemu kubwa ya teke-lojia inayotamba hapa uswazi bongo ni mawasiliano hasa simu za viganja ..Kuna kila aina ya simu ambazo nimebuniwa kwa ajili ya wale walioendelea ..lakini nasi katika kukimbizana na teke-nolojia tukaambulia kuwa kwenye msafala ..matokeo yake utakuta mjomba wangu kule mfaranyaki amenunua iphone au blackberry ambayo anaishia kutuma sms na kupiga picha za mbuzi na kondoo wake = 5 or 10% ya matumizi.. utaona hizi simu na internet zimeingilia kwa kiasi kikubwa njia na utamaduni wetu wa mawasiliano..Badala ya mtu kupata “shikamoo” ambayo kwa bahati mbaya maana yake “niko chini ya miguu yako” unapata Sms..”mambo dia”.. Katika tamaduni nyingi za Afrika ..values zetu ziko kwenye nidhamu.. lakini je tutawezaje kutumia simu, kompyuta, Ipad, internet and at the same tunaendeleza values zetu? Je sisi ni malimbukeni? Najua hii inawezekana..kwani badala ya kumtumia sms baba yangu kule Misungwi naweza kumpigia simu na kuanza kumwamkia..lakini mbona ..nikiweka jero siwezi hata kusema kitu.. Anyway.. Nitamtumia mzee ..sms..na ili kubana matumizi nitaandika in short..Mambo ni kama hivyo kwa wife.. na watoto wangu.. Pia, nikitaka kupitia Pub..nitaandika sms kwa wife..foleni iko hadi bagamoyo..naye ataniandikia ya kwake imefika Kisarawe.. ameamua kusubiri kwenye salon ya shoga yake..Mkuu Chain hii ya nyumba moja itaenda na kufanya jamii..na kuua kabisa utamaduni wetu wa kuongea kwa heshima na si kuongea tu bali hata ku-demonstrate kwa vitendo..

Kwa upande wa internet..kwa ulimbukeni wetu tunachota kila kitu..najua internet ndio maktaba kuu iliyopo hapa duniani..lakini ni nani atakaye waongoza vijana wetu? Kwenye internet unaweza pata kila kitu kizuri mfano jana nili- Build komputer yangu kupitia Youtube wakati sina elimu yeyote kwani wakati niko shule nilikuwa napishana na mwalimu wa sayansi mlangoni yeye anaingia na mimi natoka kwani sikupenda sharubu zake. Sasa kama unaweza kujifunza mambo mazuri kwenye internet pia unaweza kujifunza mambo mabaya.. Ni nani ana-control familia yake.. hapo tunarudi pale pale kweye mada ya “wheel of life”

Mimi naona huku nyumbani uswazi tumechanganya mambo kwa kukumbatia teke-nologia albeit tumeshika miguu yake badala ya kichwa. Na hata kama tumenusishwa hiyo teke-nologia basi imetuchanganya hadi tunasahau miiko, nidhamu, utamaduni..yaani tunakuwa kama mtoto aliyepekwa kwenye duka la candy .. anataka kula kila kitu bila hata kujua madhara yake ya baadaye.. Nashukuru kuna wachache tumebahatika kukutana na kubadilishana mawazo hasa humu MMU.. yaani tunajifunza sana.. na Thanks..tunabadilika taratibu.. Lakini what about other folks?
 
Hii hali inawapata watu wengi sana wenye kazi/majukumu yenye kuwategemea sana hasa middle and senior cadre of workers/experts. Ndio maana taasisi nyingi zenye malipo makubwa kitu kikubwa kinachowafanya wawe "waajiri wabaya" ni ile work-life balance.They scored very poorly hadi wanatafuta hadi mikakati ya kuimprove na inashindikana maana ule mzunguko wa kazi uko palepale!

Tukiacha mchango wa waajiri katika kukosekana balance, kuna upande mwingine pia ambao unachangiwa na familia zenyewe. Huwa nasema wazee wetu waliostaafu ambao walitulea kwa kipato chao walichokipata kwenye mishahara na ambao hawakujisikia kusukumwa kuongeza kipato, walifanya vizuri kuliko siye wa zama hizi za kukimbiza shilingi isiyokamatika!

Mwanao MTM leo anataka "toys" ambazo siyo toys bali ni "hi-tech gadgets" zinazouzwa mamilion ya shilingi, umlipie ada ya mamilioni, atoke kutembea na kuburudika kwa gharama kubwa, akifunga shule aende holiday,avae mavazi yaendanayo na world trends.... the list is long!

Mamaa naye anataka aishi maisha mazuri, mjenge au mpangishe nyumba ya kiwango, usafiri wa binafsi, maisha bora kwa kifupi.Je usipochacharika unadhani familia itakuwa na amani na wewe? Je unadhani utajivunia heshima kwa ndugu jamaa na marafiki kwa kutokuhangaika... nikimaanisha urudhike na kipato cha kijungu-jiko kisichokuweka kwenye level ya wewe kujiskia confident kujichanganya nao?

Ukija kwenye kujijali afya, ukiwa huna pesa ( unayoitafuta kwa kujinyima muda wako na kuuwekeza kwenye kazi) utamudu AAR na bima nyingine za afya assuming haulipiwi na muajiri.

Nina mengi ya kuchangia kwenye hili kuonyesha its becoming almost impossible kuligawanya hilo gudumu alilotuwekea MBU na kutoa nafasi sawa.

Ninapoandika huu mchango wangu, nimekumbuka video moja tulionyeshwa miaka ya nyuma kuhusu management and leadership kwa kifupi ikionyesha baba aliyejitesa sana kutafuta ili aipe familia yake maisha mazuri.Katika kimbizana hiyo akaja kupata heart attack akafa! Alipokufa akaenda mbele ya Muumba, na akaulizwa jitetee kwanini upate paradiso na siyo jahanamu.Utetezi wake ulikuwa kwamba alihangaikia sana familia yake hadi akajikuta umauti unamfika!

Cha ajabu na kilichonishtua ( miaka ile) ni kwamba Muumba alimuuliza tena " je una uhakika familia yako ilifurahia hali hiyo?" Akajibu ' nina uhakika maana hawakukosa chochote walichohitaji".
Muumba akamwambia " subiri tuthibitishe kama kweli familia yako ilirIdhika". Ikaonyeshwa Re-play ya maisha ya yule bwana na familia yake...jamaa alishtuka kuona jinsi mkewe alivyokuwa ananung'unika kwa vile muda mwingi hayuko nyumbani hata pale alipokuwa na watoto wadogo, watoto walipoumwa, mke alipoumwa, yalipotokea matatizo mbalimbali kwenye familia etc. Kisha akaonyeshwa jinsi hakuwepo kuona wanae wakikuwa kwa haraka, wakianza shule, wakifanya homework na kushiriki michezo mbalimbali.Watoto walihudhunika baba hakuwepo kuwapa support nk.

In short jamani hakuna jema.Haya maisha ya sasa ni ubatili mtupu!

Mimi mwenyewe ninajiangalia na kujiuliza itakuwaje kama naulizwa maswali aliyoulizwa huyo bwana hapo juu. Je na nyie wengine majibu yenu yatakuwa vipi?
Je mtastahili paradiso?
Pole kusoma kitu kirefu lakini ni vema kushirikishana.
Hii post imenifanya niote aisee...

Hadi nahisi kahoma fulani, i spent 36 hours without lepe la usingizi ati namalizia paper yangu ili nipae zaidi anga la fani, mwisho napisa simu (long distance) kumsalimia mamsap, halafu nasahau hata nimepiga simu wapi, niseme nini wala nianzie wapi... in the end, kichwa kikauma, mwili ukaishiwa na nguvu na nikaanza kupata depression ya "how did i get here"??

Kweli the best thing a man can do is to be a man for his family, be professional for his colleagues and be a gentleman to his peers... is this possible?
 
Yaani unapanga kwenda kwenye ibada (kujaribu kurejesha uhusiano wako na Muumba wako)....ukiwa njiani unapigiwa simu....njoo hapa baa mpya, nipo na A, B na Y....
Ratiba inabadilika....unasahau njia ya kwenda nyumba ya ibada....
Damn...I surely need a life mechanic.....
Damn life...... Yani hata ratiba ya kuongea na Mungu inakatishwa na beer.... Beer my ass!
 
Mkuu umegusa kitu cha maana sana..yaani tunawezaje kuoanisha "wheel of life" na Teke-nolojia" kama ambavyo tunavyoikumbatia katika maisha na utamaduni wetu huku uswazi. Kwanza naamini huku nyumbani uswazi teknolojia tunayoitumia ni kama tone la maji au trailer la movie ya kihindi ya Amitabah Bachachan kutokana na matatizo ya uchumi na underdeveloped infrastructures ambazo vinachangia sisi kutambaa badala ya kukimbia kuelekea kwenye maendeleo.

Sehemu kubwa ya teke-noligia tunayoitumia ni mawasaliano hasa ya simu ambayo yamefika hadi kwa babu kule Loliondo. Albeit, gharama yake ni kubwa zaidi ya mkate wa kila siku. Kufungua MMU ya JF inabidi ufanye timing na Voda cheka internet na ili kubana matumizi ya Call time unaongea kwa haraka kama uko kwenye Marathon. Ni tofauti na watani zetu wa jadi watu weupe ambao wametangaza Internet ni haki ya kila kiumbe.

Hata hivyo, sehemu kubwa ya teke-lojia inayotamba hapa uswazi bongo ni mawasiliano hasa simu za viganja ..Kuna kila aina ya simu ambazo nimebuniwa kwa ajili ya wale walioendelea ..lakini nasi katika kukimbizana na teke-nolojia tukaambulia kuwa kwenye msafala ..matokeo yake utakuta mjomba wangu kule mfaranyaki amenunua iphone au blackberry ambayo anaishia kutuma sms na kupiga picha za mbuzi na kondoo wake = 5 or 10% ya matumizi.. utaona hizi simu na internet zimeingilia kwa kiasi kikubwa njia na utamaduni wetu wa mawasiliano..Badala ya mtu kupata "shikamoo" ambayo kwa bahati mbaya maana yake "niko chini ya miguu yako" unapata Sms.."mambo dia".. Katika tamaduni nyingi za Afrika ..values zetu ziko kwenye nidhamu.. lakini je tutawezaje kutumia simu, kompyuta, Ipad, internet and at the same tunaendeleza values zetu? Je sisi ni malimbukeni? Najua hii inawezekana..kwani badala ya kumtumia sms baba yangu kule Misungwi naweza kumpigia simu na kuanza kumwamkia..lakini mbona ..nikiweka jero siwezi hata kusema kitu.. Anyway.. Nitamtumia mzee ..sms..na ili kubana matumizi nitaandika in short..Mambo ni kama hivyo kwa wife.. na watoto wangu.. Pia, nikitaka kupitia Pub..nitaandika sms kwa wife..foleni iko hadi bagamoyo..naye ataniandikia ya kwake imefika Kisarawe.. ameamua kusubiri kwenye salon ya shoga yake..Mkuu Chain hii ya nyumba moja itaenda na kufanya jamii..na kuua kabisa utamaduni wetu wa kuongea kwa heshima na si kuongea tu bali hata ku-demonstrate kwa vitendo..

Kwa upande wa internet..kwa ulimbukeni wetu tunachota kila kitu..najua internet ndio maktaba kuu iliyopo hapa duniani..lakini ni nani atakaye waongoza vijana wetu? Kwenye internet unaweza pata kila kitu kizuri mfano jana nili- Build komputer yangu kupitia Youtube wakati sina elimu yeyote kwani wakati niko shule nilikuwa napishana na mwalimu wa sayansi mlangoni yeye anaingia na mimi natoka kwani sikupenda sharubu zake. Sasa kama unaweza kujifunza mambo mazuri kwenye internet pia unaweza kujifunza mambo mabaya.. Ni nani ana-control familia yake.. hapo tunarudi pale pale kweye mada ya "wheel of life"

Mimi naona huku nyumbani uswazi tumechanganya mambo kwa kukumbatia teke-nologia albeit tumeshika miguu yake badala ya kichwa. Na hata kama tumenusishwa hiyo teke-nologia basi imetuchanganya hadi tunasahau miiko, nidhamu, utamaduni..yaani tunakuwa kama mtoto aliyepekwa kwenye duka la candy .. anataka kula kila kitu bila hata kujua madhara yake ya baadaye.. Nashukuru kuna wachache tumebahatika kukutana na kubadilishana mawazo hasa humu MMU.. yaani tunajifunza sana.. na Thanks..tunabadilika taratibu.. Lakini what about other folks?

lol!...aisee umetoa mchanganuo mzuri sana. Ubarikiwe.
Kiukweli bila kujitambua, technolojia inatutumia ipasavyo, tutake tusitake.

Japo wengi wetu FACEBOOK imetuwezesha kufukua mavumbili tuliopoteana nao hata miaka ishirini iliyopita,
mobile fone kutuunganisha na mawasiliano ya haraka kuliko zamani...lakini kiukweli mpaka sasa tunaitumia tekinolojia
hiyo ki luxury zaidi....kuliko kujenga kama ulivyotanabahisha. Sitaingia deep....kilio cha 'hizi simu za mkononi' kipo JF
kila wiki.

Ila, kimbembe kinakuja kwenye PG (parental Guidance) kuanzia kwenye filamu, Website access, etc...
Wazazi wengi teknolojia imewapitia pembeni. Hata uwezo wa kuliadress hilo na watoto wao imekuwa shughuli.
Mfano; Mabinti wadogo wanapigwa picha za utupu kwa mobile fones, within minutes zinakuwa zishakuwa uploaded kwenye Laptop na kuwa forwarded kwenye emails na mitandao mbali mbali. Je, bila ukaribu na wanao utawezaje kuwaonya, au kuwaliwaza wanapoathirika na matukio kama hayo ya udhalilishaji?

huo ni mfano mmoja wapo wa kuyaachia maisha yaendelee tu bila control yoyote kwa kisingizio huna muda.

aaahhaaaaaaaa.... i ws a little bit worried about the arse

Mkuu nipo bize nabalansi equation ya mbu na in 36 months ntakua nimefanikiwa

36months = 3years kaka,...haya kila la heri.
 
aaahhaaaaaaaa.... i ws a little bit worried about the arse

Mkuu nipo bize nabalansi equation ya mbu na in 36 months ntakua nimefanikiwa
Hivi 36 months kuna weekend ngapi hapo?.....damn beer!
 
Hivi 36 months kuna weekend ngapi hapo?.....damn beer!
mkuu ukitaka kujua ni muda mfupi sana fanya miaka mitatu gawa kwa arobaini na ushee niliyonayo zidisha mara mia

its an achievable target.... si maamuzi magumu hayo
 
aaahhaaaaaaaa.... i ws a little bit worried about the arse

Mkuu nipo bize nabalansi equation ya mbu na in 36 months ntakua nimefanikiwa

Mhhh! Mkuu! in my opinion that is too long. Try to reduce that duration to 18 months (if possible)
 
Here you r! when i expect u the least! anyway happy belated besdei kwanza, niliona sredi too late.

Back to Mr Mbu's wheel of life: Yep nadhani kuchunga na kupangilia muda ni kitu muhim sana na kuzembea time kunatugharim sana aisee.

Hii mada mimi nishalopokwa sana sasa tunakuachia wewe Miss fresh utupatie mikoba ya late night lol

Usijali Kloro, better late than never!!!..Thanks a bunch🙂)

Make sure unajitahidi kufanyika kazi 'gurudumu la maisha'...he he
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Loh watu wengine wachokozi! Sasa ID ya Mbu, kuchangia kwa Mjw1 na kuwa mkewe kuna uhusiano gani wajameni!!?

Yaani mimada inayoanzishwa na Mbu, ikipata comment zako baaaasi! Wala haiitaji mtu mwingine kuchangia ili inoge!
Mimi huwa nikionaga hivi nageuka kuwa msomaji tu, nikichangia basi nimekohoa tu
Endeleeni hivyo hivyo bana.
 
Asente ndugu, lol...ukiona hivyo ujue tunajitahidi ku balansi 'guludumu' na mzunguko wa maisha...he he he!

...all in all. nashukuru sana huu mgao wa umeme unavyotusaidia kubalansi vile vile...
yaani hakuna cha feni, redio wala tv...mtake msitake mtakaa kibarazani kufunga upepo, mkiongea yaliyojiri
mchana kutwa...mbaya zaidi inabidi usicheze mbali na nyumbani,...sungu sungu bila kupenda maana vibaka nao
hawaimbiwi wanacheza....

Badala ya kulala usiku wa manane, ...saa nne tushavuta 'udugu wa shuka!'
Mgao na udumu milele na milele...amin

NB;
TDTAN17.JPG
 
Hahh wewe Mbu una visa sana eti tukumbuke kupanga uzazi hahhh haya bwana umeme unatulazimisha kufunga vipakatapaja vyetu kwa ulazima.

Shughuli kwetu sie tulozoealala saa saba nane usiku, tunakodoa macho darini kama fundi saa alopoteza mshale wa saa mchangani mwe
 
...nawe tatizo lako hata nikuimbieje husikizi nyimbo zangu, mpaka nikung'ate ndio unajifanya kukurupuka aarrghhh...
jipangie muda bana....lol!

usiku wa leo wakizima tena umeme, washa mshumaa saa nane na dakika hamsini na tisa (2:59am) ujiangalie kwenye kioo,..kisha uje kunambia uliona nini...~
 
Mkuu umegusa kitu cha maana sana..yaani tunawezaje kuoanisha "wheel of life" na Teke-nolojia" kama ambavyo tunavyoikumbatia katika maisha na utamaduni wetu huku uswazi. Kwanza naamini huku nyumbani uswazi teknolojia tunayoitumia ni kama tone la maji au trailer la movie ya kihindi ya Amitabah Bachachan kutokana na matatizo ya uchumi na underdeveloped infrastructures ambazo vinachangia sisi kutambaa badala ya kukimbia kuelekea kwenye maendeleo.

Sehemu kubwa ya teke-noligia tunayoitumia ni mawasaliano hasa ya simu ambayo yamefika hadi kwa babu kule Loliondo. Albeit, gharama yake ni kubwa zaidi ya mkate wa kila siku. Kufungua MMU ya JF inabidi ufanye timing na Voda cheka internet na ili kubana matumizi ya Call time unaongea kwa haraka kama uko kwenye Marathon. Ni tofauti na watani zetu wa jadi watu weupe ambao wametangaza Internet ni haki ya kila kiumbe.

Hata hivyo, sehemu kubwa ya teke-lojia inayotamba hapa uswazi bongo ni mawasiliano hasa simu za viganja ..Kuna kila aina ya simu ambazo nimebuniwa kwa ajili ya wale walioendelea ..lakini nasi katika kukimbizana na teke-nolojia tukaambulia kuwa kwenye msafala ..matokeo yake utakuta mjomba wangu kule mfaranyaki amenunua iphone au blackberry ambayo anaishia kutuma sms na kupiga picha za mbuzi na kondoo wake = 5 or 10% ya matumizi.. utaona hizi simu na internet zimeingilia kwa kiasi kikubwa njia na utamaduni wetu wa mawasiliano..Badala ya mtu kupata "shikamoo" ambayo kwa bahati mbaya maana yake "niko chini ya miguu yako" unapata Sms.."mambo dia".. Katika tamaduni nyingi za Afrika ..values zetu ziko kwenye nidhamu.. lakini je tutawezaje kutumia simu, kompyuta, Ipad, internet and at the same tunaendeleza values zetu? Je sisi ni malimbukeni? Najua hii inawezekana..kwani badala ya kumtumia sms baba yangu kule Misungwi naweza kumpigia simu na kuanza kumwamkia..lakini mbona ..nikiweka jero siwezi hata kusema kitu.. Anyway.. Nitamtumia mzee ..sms..na ili kubana matumizi nitaandika in short..Mambo ni kama hivyo kwa wife.. na watoto wangu.. Pia, nikitaka kupitia Pub..nitaandika sms kwa wife..foleni iko hadi bagamoyo..naye ataniandikia ya kwake imefika Kisarawe.. ameamua kusubiri kwenye salon ya shoga yake..Mkuu Chain hii ya nyumba moja itaenda na kufanya jamii..na kuua kabisa utamaduni wetu wa kuongea kwa heshima na si kuongea tu bali hata ku-demonstrate kwa vitendo..

Kwa upande wa internet..kwa ulimbukeni wetu tunachota kila kitu..najua internet ndio maktaba kuu iliyopo hapa duniani..lakini ni nani atakaye waongoza vijana wetu? Kwenye internet unaweza pata kila kitu kizuri mfano jana nili- Build komputer yangu kupitia Youtube wakati sina elimu yeyote kwani wakati niko shule nilikuwa napishana na mwalimu wa sayansi mlangoni yeye anaingia na mimi natoka kwani sikupenda sharubu zake. Sasa kama unaweza kujifunza mambo mazuri kwenye internet pia unaweza kujifunza mambo mabaya.. Ni nani ana-control familia yake.. hapo tunarudi pale pale kweye mada ya "wheel of life"

Mimi naona huku nyumbani uswazi tumechanganya mambo kwa kukumbatia teke-nologia albeit tumeshika miguu yake badala ya kichwa. Na hata kama tumenusishwa hiyo teke-nologia basi imetuchanganya hadi tunasahau miiko, nidhamu, utamaduni..yaani tunakuwa kama mtoto aliyepekwa kwenye duka la candy .. anataka kula kila kitu bila hata kujua madhara yake ya baadaye.. Nashukuru kuna wachache tumebahatika kukutana na kubadilishana mawazo hasa humu MMU.. yaani tunajifunza sana.. na Thanks..tunabadilika taratibu.. Lakini what about other folks?
Great thinker at work
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

"...Value has a Value only if its Value is Valued!"

30_sec_speech.jpg

...maneno juu ya msitari!
 
Back
Top Bottom