Maisha Vs Muda,...Unatosha?!

kwa tanzania hii,kuna kazi sana kuendana na kasi ya mda,kuna mambo mengi ambayo yanachangia kutukwamisha,labda tuanze kuyatatua haya yanayotukwamisha,ndo tuweze haya mengne

mengi yepi bana, hebu yatolee mfano tuyapigie masaa.
 


Aamah! Asa mie niidoubt story yako kwa nini nawe bwana?? Nakuonea (mioneeni) wivu kwa kweli.
Sasa marafiki/ndugu wengine wanaangukia wapi? au ndo likizo kwa likizo au weekends?
 
Reactions: Mbu
BAK nawe kumbe u mchokozi eh!! loh ingekuwa kweli ningemwomba bora aweke picha ya Rungu dawa ya Mbu kuliko sura hiyo.....nani atakaporwa?? lol
 
BAK nawe kumbe u mchokozi eh!! loh ingekuwa kweli ningemwomba bora aweke picha ya Rungu dawa ya Mbu kuliko sura hiyo.....nani atakaporwa?? lol

Mhhhhh! hahahahaha waporaji wengi siku hizi wala hawana aibu wala woga...utaona maandishi, "hebu twende chemba kidogo." lol! kumbe huko ndio uporwaji unafanyika rasmi.
 
Mhhhhh! hahahahaha waporaji wengi siku hizi wala hawana aibu wala woga...utaona maandishi, "hebu twende chemba kidogo." lol! kumbe huko ndio uporwaji unafanyika rasmi.

Hahhahh BAK tutapigwa BAN kwa kuchakachua thread ujue.

Wheel of Life .........mwe!! Mada ngumu kweli wkeli afu huyu Mbu sijui atoa wapi haya makitu magumu, utafikiri mtihani wa Moko!!
Naombea isijeikawa hata kwenye maisha ni hivyo.....too principled bana..hata huyo Soulmate wake atamkimbia Ebo!!
 

:A S thumbs_up:
 
Aamah! Asa mie niidoubt story yako kwa nini nawe bwana?? Nakuonea (mioneeni) wivu kwa kweli.
Sasa marafiki/ndugu wengine wanaangukia wapi? au ndo likizo kwa likizo au weekends?

mama, jumamosi mie na mama chanja biashara twaziweka pembeni,...jumamosi siku ya kufua na usafi,
Jumapili twawatembelea ndugu jamaa na marafiki na wale waliopo mahospitalini.

Si mwajua mambo ya extended family? lazima atapatikana japo mmoja kalazwa!


Hahahahha Mbu king'ang'anizi!! Afu hiyo Avatar ndo weye eh?

...mnh, kuna nyingine nilitaka kuweka mwanzo lakini mnh,....nimeonekana too serious,...acha kwanza!



LOL! huyu bro BaK huwa hatembei na mafaili kama prosecutors wengine, yeye USB tu inamtosha...akisha link thread A yenye exhibit 1a nab, anarudi kwenye thread B!...mimi nishamvulia kofia bana, anajua mpaka nukta wapituliweka!...

Mwj1, kwa mara nyingine tena wanambia am too principled,...am lost in translation! lol!

 
Mie akha halinpi tabu gurudum hili.
Nalizungusha kisawasawa maana wa ubani akienda huku nami naenda kule.Ivo twagawana 50/50 na maisha yaenda.
Kwanini watu mwang'ang'ania kila mtu azungushe la kwake?? Zungusheni kwa zamu eti sijui kama mwanfahamu?
Shauri yenu!
 

Abee!! Samawati hebu ntonye basi nami mtoto wa kiumbe mwmanamke kama weye ulivyo bana.......... nipe siri ati!!
 

Hongera zenu lakini hii ya kusukuma gurudumu 50/50 haitakiwi iwe ivo bana! πŸ™‚ mnatakiwa wote mnalisukuma bega kwa bega siyo mwenzio asukume 50% akimaliza nawe ndio uingie umalizie 50% nyingine. Pamoja na hayo hongereni.
 

LOOOOOLLLL!!!....kwani niaje mpaka ukamdhania yeye ndio mtuhumiwa namba moja? ha ha ha!

Si nilishatoa "ushahidi" wangu juzi Mkuu? hahahahah lol! au unataka niurudie πŸ™‚ Tafuta ile methali ya BaK isemayo, "Mwambao huu na Mwambao ule, raha tupu." πŸ™‚
 
Reactions: Mbu
Si nilishatoa "ushahidi" wangu juzi Mkuu? hahahahah lol! au unataka niurudie πŸ™‚ Tafuta ile methali ya BaK isemayo, "Mwambao huu na Mwambao ule, raha tupu." πŸ™‚

lahaula, basi kaka...shhhhhhhhh! tustiri bana!...haya bana, naangalia wedding vows hapa...naona Royals wa Europe wamecharukwa,...hata Monaco- Prince Albert 'wa pili' leo kaamua kuuweka mzizi wa fitna pembeni, anajiolea Binti Wittstock wa kwa Madiba!
...Prince Albert of Monaco and Charlene Wittstock marry amid rumours that the former Olympic swimming star tried to call off the wedding at the last minute.

Bi Charlene ilizushiwa karibu aahirishe harusi, sijui alichelewa kusoma alama za nyakati? mambo ya kujipangia muda haya!
Chupu chupu tungesuhudia reality show ya "Runaway bride!"
 
Mbu na BAK mmeniacha solemba..............Haya bana yatosha

Mbu nakuona ka uko too principled bana ......yaani una pre-arranged life!!

Pre arranged? umeona eeh! Mkuu Mbu hata mimi nimehisi hii kitu na kama mimi na mjukuu mtiifu tumewaza sambamba basi nazani kuna ureality somehow! (hehehe najipa ujiko kidogo). To know exactly where will u be tomorrow 5:45 hii inasound more of commitment than timing.

Kama nimechemsha shem atafafanua na kunidefend lol
 
Mbu na BAK mmeniacha solemba..............Haya bana yatosha

Mbu nakuona ka uko too principled bana ......yaani una pre-arranged life!!

LOL!! ........haaaahhaa!....e bana weeeeeeeeee....kumbeee eeh? jamani usin'tose basi...JF ishan'ponza hii kwa u open mindedness wangu....aaarrrgghhh!....nilidhani maisha ni past, present and future...nithamee jamani,....thiludiiiii tena!
 
Wewe bwana lazima utakuwa mchawi.........haiwezekani pale ninapokukumbuka, kuwaza unatokea....................... sasa hii wheel of life naona inaaply kwa wale wenye stable relationship..una mke/mume au stable gal/guy.....kwka wale wanatafuta je?? uwii Mbu atatuua shem.....sijui tuhamie chamber?

Hahahh eti Mada imekwenda shule kuliko Bunge la Dodoma halafu umepata kazi BBC kiswahili unaongea tu kumpa ujiko Nyerere...wewe umepindia kushoto walah
 

....iiiiiissshhhhhhhh!, sasa nawe unapaka na siagi kabisaaaa mkate ulike vizuri, mnh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…