MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Hahahahahaha Mbu......opssss sorry BaK unajua kuna thread imeanzishwa mtoa mada analalamika kuwa hajaona wadada wa JF wakitii hisia zao..but am sure akifanya analysis kwa posts (Content analysis) ataligundua hili lohManeno hayo! hahahahah lol! ya nini kuteseka moyoni? Kisa mtoto wa watu uwe roho juu juu lol! 🙂
ooh okay funga ya kesho ujefungulia kwangu.....ndo wheel of life bana....unabalance huku na kule!
Wa mwisho kuwazwa kabla ya kulala ndo wa kwanza kufikiriwa asubuhi dia wangu!!
Maneno hayo! hahahahah lol! ya nini kuteseka moyoni? Kisa mtoto wa watu uwe roho juu juu lol! 🙂
Kwa wabongo ni ngumu sana hatuna descipline na mpangilio na maisha yetu. wenzetu wadhungu wanaweza. Ndio maana unasikia wameenda summer holiday na vitu kama hivyo ili kuwa karibu na familia. Nina promotor wangu huyo hata siku moja hawezi kukujibu e mail ulotuma week end, na sidhani kama anafungua e mails zake za kiofisi jmosi na jpili. Akina sie hapa tunafanya kazi 24/7 hamna jmosi wala jpili na bado hatuna maendeleo. Well nachojitahidi kufanya kati ya hayo ni kutoisahau familia.
Lo nimemkumbuka Chavez imegundulika kuwa ana uvimbe wa kansa na amekiri mwenyewe kuwa amekuwa mzembe kucheki afya yake mara kwa mara. I hope he will be fine.
mnh, bado dakika chache lakini karibia nifungulie kwa majaribu yako...we haya tu bana...mnh!
aaarrrgggghhhh, wewe endelea tu kuusoma huu unyuzi mpaka utapofikia eti 'gnt klorokwini, niote!'...na liklorokwini eti nalo limeenda kweli kulala likitabasamu!...hawa washenga wengine bana.
...................Hakika post hii inanilaza unono.....loh we Klorokwini ume'sikia' lakini Mbu anvyokubeza!! haahha jamani it has been so good to 'meet' you guys loh nimecheka sana leo hadi naulizwa ..........We acheka nini? chicheke bana talia! loh
aaarrrgggghhhh, wewe endelea tu kuusoma huu unyuzi mpaka utapofikia eti 'gnt klorokwini, niote!'...na liklorokwini eti nalo limeenda kweli kulala likitabasamu!...hawa washenga wengine bana.
Nyumba kubwa asante. Hivi ulikuwa wapi masaa yote mie nashambuliwa hapa?
aaahh,...njirukia zangu mie leo nalala darini!...
...................Hakika post hii inanilaza unono.....loh we Klorokwini ume'sikia' lakini Mbu anvyokubeza!! haahha jamani it has been so good to 'meet' you guys loh nimecheka sana leo hadi naulizwa ..........We acheka nini? chicheke bana talia! loh
aaarrrgggghhhh, wewe endelea tu kuusoma huu unyuzi mpaka utapofikia eti 'gnt klorokwini, niote!'...na liklorokwini eti nalo limeenda kweli kulala likitabasamu!...hawa washenga wengine bana.
haahahahahah Bana ulale salama Shemeji yangu mie eh aksante umenisaidia kushtua ule mshipa unaohifadhi aibu za kike mwe........mie
uilishakatikaga kitambo!!
Usiku mwema Klorokwin.....uniote eh (the seal is not sealed bado)!!!
Mbu wala nini leo mydia........au ndo wheel of laifu eh?
ha ha ha loooool dah! hii post imeumiza mbavu zangu vibaya sana.
haahahahahah Bana ulale salama Shemeji yangu mie eh aksante umenisaidia kushtua ule mshipa unaohifadhi aibu za kike mwe........mie
uilishakatikaga kitambo!!
Usiku mwema Klorokwin.....uniote eh (the seal is not sealed bado)!!!
Mbu wala nini leo mydia........au ndo wheel of laifu eh?
Nikiwa kama Lawyer na Mshenga wa Mbu naomba aondoshe wasi wasi kabisa, hapa tunaweka mazingira sawa na soon mipango itakamilika, tayari nimekubaliana kukutana na MJ1 kwa kikao cha zarura ambacho B's and C's zitajadiliwa kwa kina. stay tuned!Utakiweza hicho kibarua KQ? hahahaha lol!...Mbu kishanuna kwa kibarua ulichopewa lol!
Afu Mbu hujanjibu ujue kwa nini Finances na Career vimetenganishwa!!
eeehhh? hujalala tu weye. Haya, jibu lako ni;
Career; ni shughuli/kazi uifanyayo. 'kiingilishi/kiingredha;' An occupation undertaken for a significant period of a person's life and with opportunities for progress.
Finances; ni mapato na matumizi kulingana na maisha yako. 'kiinglishi/kiingredha;' decisions and activities of an individual, this could include budgeting, insurance, savings, investing, debt.
Umeona tofauti hapo?....