MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Maneno hayo! hahahahah lol! ya nini kuteseka moyoni? Kisa mtoto wa watu uwe roho juu juu lol! 🙂
Hahahahahaha Mbu......opssss sorry BaK unajua kuna thread imeanzishwa mtoa mada analalamika kuwa hajaona wadada wa JF wakitii hisia zao..but am sure akifanya analysis kwa posts (Content analysis) ataligundua hili loh
Bye bwana nadhani nlopata leo kitakuwa cha Arusha.....kangea Loner au Wiselady!! Lol
Last edited by a moderator: