Maisha: Vya bure vinakuja na masimango. Pambana

Nchi yetu imeshawahi kukataaga misaada ya bure kweli ?

Navyo elewa ukipokea kitu Kwa mtu bure ni muhimu kutafuta namna ya kurudisha chochote kwake .

"No Free"
 
Simsahau Mage....

Pamoja na kuniita "handsome" wa jiji...pamoja na kumpandisha "kibo" kila "tukio"....

Alikuja kunifurusha kwa kunitupia virago vyangu pale Mikocheni nyuma ya kanisa la ESTA...

Mage yumo humu..

Salaam zimfikie huko TBR [emoji1787]

Kweli bure ghali [emoji1787][emoji1787]
 
Nchi yetu imeshawahi kukataaga misaada ya bure kweli ?

Navyo elewa ukipokea kitu Kwa mtu bure ni muhimu kutafuta namna ya kurudisha chochote kwake .

"No Free"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…