samirzein07
New Member
- May 19, 2023
- 2
- 9
Ni siku nyingine ya kukumbusha kwamba vitu vya bure vinakuja na masimango , learn to hustle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2956]Ni siku nyingine ya kukumbusha kwamba vitu vya bure vinakuja na masimango , learn to hustle
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utapataje vya bure kwa mfano? Nenda pwani upokee vya bure, atashtuka njemba inakushtua! Aahya tuondoke basi!! Unauliza, "kwenda wapi?"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaNchi yetu imeshawahi kukataaga misaada ya bure kweli ?
Navyo elewa ukipokea kitu Kwa mtu bure ni muhimu kutafuta namna ya kurudisha chochote kwake .
"No Free"