Maisha ya baadaye ya watoto wetu yanahitaji wawe na Elimu, network na investment

Binafsi maarifa hayo nimeyapata ukubwani.. wazazi walitujenga tofauti na hayo uliyoandika mkuu.. walikuwa hawataki kucheza na wenzetu, ata kwenda kwenye sherehe zao n.k yaan walitukosesha vingi sanaa
Poleni Sana Mkuu
 
Inashangaza asee, mtoto eti anaenda advance anapelekwa?
 

UZI mzuri sana huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…