B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,443
- 3,002
Wakuu habari za mchana,
Hali ilivyo tyt wengine sijui kama mchana tutauwona huo msosii. Ila poa tupambane wakulungaa. Ebana! Leo nataka tujadili hi issue ya boarding skul vs day skul, Ila sio ya kipindi hichi Cha kuazia 2015, naongelea kuanzia 1990 Hadi 2014, kipindi hichi ndo ilikuwa Kuna real wanafunzi na tulikuwa hatuja aribiwa na technology.
Binafsi nimesoma boarding skul katika mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Mwanga hukoo milimani.asee boarding Kuna Raha yake.
Nakumbuka nipivyo pelekwa siku ya kwanza nikaangalia madhari nilichoka.mwaka 2000 mzee kulikua Kuna minjembaaa hatari!sio Sasa hivi vitoto vidogo vidogo.