Maisha ya boarding school vs day school

Maisha ya boarding school vs day school

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,443
Reaction score
3,002
Wakuu habari za mchana,

Hali ilivyo tyt wengine sijui kama mchana tutauwona huo msosii. Ila poa tupambane wakulungaa. Ebana! Leo nataka tujadili hi issue ya boarding skul vs day skul, Ila sio ya kipindi hichi Cha kuazia 2015, naongelea kuanzia 1990 Hadi 2014, kipindi hichi ndo ilikuwa Kuna real wanafunzi na tulikuwa hatuja aribiwa na technology.

Binafsi nimesoma boarding skul katika mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Mwanga hukoo milimani.asee boarding Kuna Raha yake.

Nakumbuka nipivyo pelekwa siku ya kwanza nikaangalia madhari nilichoka.mwaka 2000 mzee kulikua Kuna minjembaaa hatari!sio Sasa hivi vitoto vidogo vidogo.
 
Ila bro kunifikisha hiyo shule,kwa vile na yeye alisoma hapo na alikuwa mtata balaa akanikabizi kwa madogo zake slip waacha huko nyuma.ambao walikuwa wako form 4,asee nimijibaba mibausa Ina mavifua Nika mwambia bro hi ni jelaa au!akaniambia dogo hapa ndo utajifunza maisha.dah!siku ya kwanza tu usiku njemba zikavamia bweni la form nyoko kipindi hicho,tukaamshwa wote tutoke njee na kunabaridi la hatari lilee la ukungu.tulirukishwa vichura plus skwatingi balaa.hahhaa hata kosa hatujui,walee form one walio kuwa Wana Mili mikubwa walipata shida Sanaa walichapwa mikanda walilia Kama watoto
 
Kwa kifupi boarding ukiwa form one,Kuna kupiga simu chooni,kukatwa mkiaa hii saa tisa na dakika tisa tarehe tisa mwezi watisa mnakatwa mkia asee Kuna kutembezewa belt vibaya mno,Kuna kufulishwa nguo sometime Hadi za ndani,Kuna kuibiwa vitu vyako,siku ya wali au nyama walimu lazima asimamee na kiboko
 
Haraka haraka eleza maana ya “tyt”, “tutauwona”, “wakulungaa”, “kipindi hichi” n.k
 
Mimi nilianzia kusoma day, nikawa natamani sana kusoma boarding... Yaani ile watu wa rika moja mnakaa, mnalala, mnaamka pamoja daah nilikuwa naona hakuna maisha mazuri kama hayo (nadhani kwa sababu nyumbani nilikuwa peke yangu). Nilipohamia boarding aisee wiki moja tu nilichoka...nikawa nawatamania kweli wanaorudi nyumbani
 
Boarding inabod uende ukiwa akili ishakomaa maana km bdo mtoto tabu tupu kuna majitu mababe huko ukizubaa utashangaa USHAFILWA
 
Boarding inabod uende ukiwa akili ishakomaa maana km bdo mtoto tabu tupu kuna majitu mababe huko ukizubaa utashangaa USHAFILWA
[emoji16][emoji16][emoji16] mkuu haya mambo ya kufi.ra nadhani yameanza siku za karibuni...wakati mimi nasoma sikuwahi kusikia
 
Mimi nilianzia kusoma day, nikawa natamani sana kusoma boarding... Yaani ile watu wa rika moja mnakaa, mnalala, mnaamka pamoja daah nilikuwa naona hakuna maisha mazuri kama hayo (nadhani kwa sababu nyumbani nilikuwa peke yangu). Nilipohamia boarding aisee wiki moja tu nilichoka...nikawa nawatamania kweli wanaorudi nyumbani
Mkuu hahha ulikuwa muogaa asee.ulikosa Raha za boarding asee....usiku prepo ilikua kibambianaa sanaa
 
Boarding inabod uende ukiwa akili ishakomaa maana km bdo mtoto tabu tupu kuna majitu mababe huko ukizubaa utashangaa USHAFILWA
Mkuu hapana kufika nikatabia ka mtuu,Ila kuteswa Kama kawaida utaruka sana kichura,push up....skwatii....kubebaa mziga aka tranka lako juu,Ila ukishakuwa kichwa gumu Raha sana
 
Ila Kuna boarding mitoto mingine ilichokwa na wazazii wakaona wawalete boarding wanatabia mbaya balaa,Kuna jamaa angu form one alikuja Kama mlokolee na bibilia kilaa siku ndani ya miezi sita kawa paka mwizi
 
Mkuu hahha ulikuwa muogaa asee.ulikosa Raha za boarding asee....usiku prepo ilikua kibambianaa sanaa
Mimi sikuwa na mambo hayo kabisa yani...nilimesoma boarding form three na form four hata sikuona raha yake
 
Mimi sikuwa na mambo hayo kabisa yani...nilimesoma boarding form three na form four hata sikuona raha yake
Mkuu ulikua international Ni skul Nini?maana huku kwetu kajamba Nani ilikuwa Raha Sanaa,,ubwabwa kwa mwezi Mara mojaa,nyama mpaka ng'ombe washule akaribie kufaa,sa wahuni walimlisha ng'ombe malailoni ili wale nyama
 
Mkuu hapo umeongea mambo ya kubambiana. Yalikuwepo yote ila mimi nimejibia hiyo segment ya kubambiana tu
 
Back
Top Bottom