maisha ya boarding taabu sana

maisha ya boarding taabu sana

george de hero

Senior Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
122
Reaction score
14
nawashangaa sana hawa wanaosubir post za kidato cha tana hawajui maisha ya kule ni ugal maharage mwanzo mwisho kwann wasiendelee kula bata kitaa maisha popote bwana
 
Dah!mwanangu usinikumbushe,ile sosi inachosha kinyama utafikiri mko Guantanamo.Ila ndo maisha bana,na wao wakayaone.
 
Inategemeana na shule bhana, wengine 2mepiga mashule ya mission japo masharti magumu lakin asikwambie maisha ya shule raha sana.
 
Back
Top Bottom