Vp hayo machache, yalikiwa mazito kiasi ganiMagufuli alisingiziwa mengi sana
we acha to yani ni kama simulizi..Kuna mambo mengine unaweza ukadhani ni simulizi lakini ni kweli tunayashuhudia
Lisu ana approach mbovu ya mambo yake.Njia aliyochagua lissu upaswi kuwa na majuto na malalamiko njia ya haki kasome biblia yako