Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Nyie ndio wasomi wenyewe sio hawa wasomi hi wa siku hizi assignment zote inafanya AIFar back 2005-2009. Bumu tulianza na buku 2 na jero. Mwishoni tukapandishiwa mpaka buku tano.
Wali maharage ilikuwa jero mpaka mia 4 . Oooh no smartphone, no bundle nothing unasoma chuo huna hata kitochi
Hamna discussions? Mnakutanaje πFar back 2005-2009. Bumu tulianza na buku 2 na jero. Mwishoni tukapandishiwa mpaka buku tano.
Wali maharage ilikuwa jero mpaka mia 4 . Oooh no smartphone, no bundle nothing unasoma chuo huna hata kitochi
Mikutano mnapanga mkitoka mkiwa kwenye kipindi. Na watu walikuwa wanapiga sana nauli soloHamna discussions? Mnakutanaje π
Duh kasheshe.Mikutano mnapanga mkitoka mkiwa kwenye kipindi. Na watu walikuwa wanapiga sana nauli solo