Maisha ya chuoni bila mishe yoyote ni magumu

Pole sana. Lazima upate kazi. Iwe supermarket, kuuza duka, boda, Bajaj, Uber nk, hata kuchomea vyuma, kufagia, kufyeka, gardening, etc etc
Pambana kijana...
Nimepigia mstari kabisa amina sana
 
[emoji23][emoji23]chuo pa kingese sana kama ww ni me , hamna shida sikuiona miaka yangu minne , nilipigwa na maisha balaa, pale inataka ujikatae na ujitume bila kuchagua ...ukiingiana na watu utatoboa mpaka nguo za ke nilifua ilimradi nipate hela
 
[emoji23][emoji23]chuo pa kingese sana kama ww ni me , hamna shida sikuiona miaka yangu minne , nilipigwa na maisha balaa, pale inataka ujikatae na ujitume bila kuchagua ...ukiingiana na watu utatoboa mpaka nguo za ke nilifua ilimradi nipate hela
🤣🤣 Hatareee
 
Ingia kwenye freelancing platforms kama Upwork, Fiverr, taskrabbit na zinginezo upate kazi za mitandaoni.
 
Pole sana. Lazima upate kazi. Iwe supermarket, kuuza duka, boda, Bajaj, Uber nk, hata kuchomea vyuma, kufagia, kufyeka, gardening, etc etc
Pambana kijana...
Hongera mkuu umeongea point sana lakini hapa kwavijana wengi wa chuo hubaki nikama ndoto tuu..nauhalisia nivile ambavyo ameacha kufanya kazi hizo[emoji23][emoji23]
 
Vijana wengi wachuo huingia kuishi ulimwengu mwingine kabisa..nakudhani yale ndio maisha halisi,sasa wakiludi kwenye uhalisia wenyewe wanapagawa sana kwani wanagundua kumbe mission ilikua ...FAKE.. kabisa.
Nazaidi niwale walioingia kwenye ulimwengu huo wakakuta kuna mabitozi nawao wakapanda basi hilo.
Ila wanao jitambua wapo mtaani wanaforce nawamepanga mageto yao fresh kabisa..wao hawachagui kazi yakufanya,kwenye usafi wao,zege wamo,saidia fundi wamo,kujaza vifusi wamo,nakazi tofauti tofauti..kifupi hutamkuta analilia njaa kijana wanamna hii coz anapambana napesa anapata vizuri tuu.
Nawapa big up sana vijana wanao pambana[emoji123][emoji123] haswa wasio bagua kazi.
 
Mbona mtaani huku dar tunqwaona vijana wa chuo mfano udsm ifm nk wanaonekana wana maisha mazuri mpk sie bodaboda tunawataman wanajilia madem wakali tu ma class mate zao ss nyie wengine vp mana boom wanasema wanapata laki 3 kwa mwezi ss jmn inakuwaje mana huku mtaani kuna wana wapo viwandan wana kula laki na nusu kwa mwezi na wana familia na wanaishi fresh tu ss nyie wanafunz wa chuo mnashindwaje kuishi na iyo laki 3 kwa mwezi au me ndo nachanganya mambo
 
Mkuu chuo gan kinatoa hiyo course Accontancy and information technology
 
Piga kitabu acha kelele, nakumbuka 2012 hadi 2015 enzi hizo wenzetu wana uhakika wa boom laki 2 na nusu kila mwezi wakati wengine tunatumiwa 100,000 (laki 1), ila miaka mitatu michache sana wote tulimaliza chuo.

Kama una mkopo maliza chuo ndio uanze kujitafuta kitaa, vyuo vyetu havina mazingira rafiki ya side hustles.
 
IAA hii.
 
Upo IFM wewe tena BAIT kama sio third year kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…