Maisha ya Dar vs Maisha ya mikoani

Maisha ya Dar vs Maisha ya mikoani

Kawaida miji mikubwa duniani kote huwa ina fursa nyingi sana za kutoka, pia ndiyo huwa na masikini wa kutupwa ambao hawana hata pa kulala.

Mi nafikiri hakuna jibu la moja kwa moja. Inategemea na mchongo wako. Kwa muajiriwa Dar ni pagumu, anaweza zeeka hana nyumba. Kwa mfanyabiashara Dar ndiyo penyewe. Kwa mkulima wa jembe la mkono mkoani hali ni ngumu mno, bora akawe Chinga Dar. Inategemea.
Hamna watu wana mpangilio mzuri wa maisha kama wakulima japokuwa wanapata pesa yao mara chache kwa mwaka!...na wanaishi vizuri kwa mipango yao sasa babu hivi maisha ya machinga unayaona mazuri sana kisa wako dar!!?..you must be joking!
 
Back
Top Bottom