Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Maisha ya dar ni shiida na yanataka uwe na *KIFUA*, Yaani mkeo analetwa na mshikaji mpaka mlangoni na gari, ukimuuliza anakujibu kiulaini *UBER* hiyo[emoji85][emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sana wanaume wa Daslam, naona mmeamua kuidhihirishia Dunia jinsi vile mlivyo yogoyogo... tehteehhhMaisha ya dar ni shiida na yanataka uwe na *KIFUA*, Yaani mkeo analetwa na mshikaji mpaka mlangoni na gari, ukimuuliza anakujibu kiulaini *UBER* hiyo[emoji85][emoji85]