Maisha ya dunia bila shetani yasingenoga

Maisha ya dunia bila shetani yasingenoga

bongo dili

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
12,350
Reaction score
25,180
Dunia kuna nguvu kuu mbili, umepewa free will uamue, uwe kwa shetani au Mungu. Shetani ndie mungu wa ulimwengu huu kwa wasio na Mungu.

Matatizo shida vurugu kila kitu kibaya chanzo ni shetani. Kila lolote lililo baya lina uzuri ndani yake.
Maendeleo ya dunia ni matokeo ya shida, shida ndio uwaforce watu watafute uvumbuzi wa matatizo yao.
 
Maisha yangekuwa bomba sana.
Sema picha iliharibika wakati mwanadamu bado hajafungua ubongo wake kubuni vitu kutoka katika ubongo usioathiliwa na dhambi.

Kumbuka Mungu aliumba dunia na kabustani kadogo tu kalikotosha watu wawili, na kuwaambia waongezeke na kuzaa. Hivyo walikuwa na kazi kubwa ya kubuni vitu ili hiyo hali bora isambae dunia yote. Advancement ingekuwa juu kuliko hutu yubunifu twa kidhambidhambi
 
Back
Top Bottom