Maisha ya Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja mkandamizaji na waliokuwa comedian wenzake

Hata huo ukafiri si kazi mkuu
 
[emoji3] [emoji3] mkuu wasiwasi wako tu
Endelea kulima
 
Aoneshe tu mafanikio yake watu tutamani tupate nguvu ya kutafuta na sisi.

Mali kapataje mimi hainihusu ninachojua anatia hamasa ya kutafuta mafanikio.
 
Tuulize sisi...sheta ni bilionea now..anachokifanya sijui[emoji15]
Hahahaa bongo miujiza mingi sana,mtu hana anachokifanya lakini ni "BILIONEA" 😀😀😀😀😀😀,ukiuliza utaambiwa anafanya matangazo ya makampuni,wakati kuna wenzake wanapiga matangazo daily lakini wanatembelea Passo na kupanga chumba na sebule sinza 😎😎😎😎.
 
We jamaa uko vizuri...
 
Afuuu nilijuaga we mkongo hujui kiswahili[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....lkn leo umeshusha kiswaz halisi au umeandikiwa??
 
Fanya kazi sana na kwa bidii. Achana na story za vilingeni
 
Fanya kazi kwa bidii uwe tajiri. Achana na story za vijiweni.
...wewe kwa mtazamo wako huo kamwe hautashika hela
...kama bidii ingekuwa inalipa basi wakulima wangekuwa matajiri....utajiri una mambo mengi kuliko ulivyo karirishwa eti bidii

......jifunze kufikiri kwa kina
 
Fanya kazi sana na kwa bidii. Achana na story za vilingeni
...hata makazini/ofcn wanaojituma kwa bidii wanaishia kuwa makapuku
....wewe piga deal hata kama unashinda umelala utakuwa na mihela.
....nyie ndio wale wale mnaoamini eti Bakhera alikuwa anauza genge,Mara Mrema wa Impala alikuwa dobi etc....huo unaweza kuwa ni ukweli ila kamwe sio uhalisia wa utajiri wao
 
Kwa biashara ya kilimo huwezi kutoka namna hiyo ngumu sana sana.MUNGU atusaidie
...watasema una wivu
....kweli nimeamini propaganda zinafanya kazi...eti kilimo_my foot
 
Kama kilimo cha mpunga nimelima sana lakini tija ya kilimo sijaiona kilimo kimekuwa gharama kubwa sana halafu bei inakuwa chini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…