Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
AiseeAnalipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeAnalipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Huko vijijini kwenu Sing'isi _Babati umefanikiwa kuwachimbia hata choo? Au unaning'iniza tu hizo kende kutwa nzimaAnalipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Mjinga sana huyuHuko vijijini kwenu Sing'isi _Babati umefanikiwa kuwachimbia hata choo? Au unaning'iniza tu hizo kende kutwa nzima
Joti hana mkataba na Tigo bali ana mkataba na wanaowafanyia matangazo Tigo.Najua wengi watabisha kutokana na akili za ubishiJoti anamkataba wake mnono mtandao wa tigo
Nani kakwambia mr bean ni mshamba ?Mbona Mr BEAN ana MKWANJA (pesa) toka Kitambo nae bado ni MSHAMBA....
Namsaapoti Masanja na harakati zake nahisi anajifunza zaidi kupitia MATEMBEZI....
Kadiri anavyo safiri...ndio jinsi anavyo ondoa KAUSHAMBA na Kuwini MAUJANJA....
BIGUP Masanja..
Masanja sio msukuma, ni mpangwa wa Rudewa na amekulia Usangu (wilaya ya Mbarali) amekaa sana UbarukuMwacheni jamani huyu ni msukuma aliejanjaruka
hyo plate number hailipiwi kwa mwaka... kodi yake unalipa milioni 10 kila baada ya miaka mitatu (3)Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Sasa mbona anajisifia sana usukumaMasanja sio msukuma, ni mpangwa wa Rudewa na amekulia Usangu (wilaya ya Mbarali) amekaa sana Ubaruku
Swaga tu hizo, lkn nadhani ameo msukumaSasa mbona anajisifia sana usukuma
ni ushamba tu huo. hivi Mengi au Bhakresa wangekuwa wanaonyesha maisha yao yote kama hawa wajinga, tungelala usingizi? wenye pesa na wana akili wametulia tu, ila limbukeni na wasio na akili wanapenda kweli kujionyesha.
bado tuTime will tell!
Na DstvJoti anamkataba wake mnono mtandao wa tigo
Shetta nae kawa tajiri naw .?Utajiri unasiri nyingi!!!mambo yamejificha.Kama kale kasanii ka Shetta.
Hii post umeandika kwa kutumia smartphone ya karibu TSh.100,000/= au zaidi! Na unaweka bando la wastani wa 500tsh kwa siku! Ungepeleka madaftari na kalamu kwa watoto yatima au masikini kijijini kwenu si wangekushukuru sana?Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?