24th DECEMBER
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 401
- 167
Kwahiyo mtu asitumie pesa yake atakavyo, eti kisa tuu ashukuriwe..?Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mtu asitumie pesa yake atakavyo, eti kisa tuu ashukuriwe..?Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Hivyo? Basi mi nikifikiri ni diamond! Au tukiwajumlisha nilifikiri ni Samata. Sina source yoyote ilikua ni maono yangu tuMasanja smart sana.... Na ndie celebrity mwenye mkwanja kuliko wote.
Anajitambua.
Wewe una barikiwa lini?Yesu kambariki njoo kwa Yesu ubarikiwe
Kuna sheria inamlazimisha? acha kukurupuka wewe mtoto wa kiume.Kwahiyo mtu asitumie pesa yake atakavyo, eti kisa tuu ashukuriwe..?
Kuna sheria inamlazimisha? acha kukurupuka wewe mtoto wa kiume.Kwahiyo mtu asitumie pesa yake atakavyo, eti kisa tuu ashukuriwe..?
HahahahaaaaaKuna sheria inamlazimisha? acha kukurupuka wewe mtoto wa kiume.
Joti havai magauni utachekwa.. mwenzio anaishi mjini kwa pesa za DSTV na TIGO.. amka acha majungumtoto wa kiumeMkulima mzuri haswa namuona pale chimala.
Pesa haiangalii sura.joti anaendelea kuvaa magauni yake hao wengine sijui wapo wapi
Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Umaarufu kazi kwelkwelAnalipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
hater ha ha ah ha ha ha ha unataka ishi utakavyoPesa anayo ila bado ana kaushamba fulani hivi hakajaisha bado
hello haterAnalipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Umaarufu kazi kwelkwel[/QUOTE
Hata kama ni mitano bado ni kubwa sana.5m kwa miaka3
NotedHahahahaaaaa
...None of your business.wenzake unataka ujue walipo ili iweje?
ha haa...nimetaka kusema kitu lkn kimeishia kwenye ``lips``...hv mku unajua mtu anaweza kuwa na maisha mazuri lkn bado akawa na akili na roho za kimasikini?,kuna mwingine pia anaweza asiwe na maisha mazuri lkn akawa na roho na akili za kitajiri....sijui ni mm tu naliona hili?Ukimuuliza huyo mtu kwamba ushamba wa Masanja nini utasikia anaseme "kujionyesha".. Tabia za maskini na kilofa za kutaka kuwapangia wengine waishi vipi. Utasikia fulani haringi kabisa au fulani ndo tajiri mwenye roho nzuri zote ni mindset za umaskini wa akili. Tabia ya maskini wa akili siku zote ni kutaka uwafurahishe waoo. Maskini wa akili wanataka ukiwa tajiri waweze kuku control