Maisha ya Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja mkandamizaji na waliokuwa comedian wenzake

Hivi kuna neno fulani alikuwa analitumia katika komedy zake siku za nyuma ila siku hizi huwa hatumii lina maana gani? " !!!!!!!!!!!MAPOUDOOOOOOO!!!!!!!!!!"
mzee wa poda na mtumiaji mzuri, zimempa pesa sana ila amecheza kama Pele kuwa na kiteteo cha ukulima wa mpunga na kuwahudumia kondoo waliopotea zizini..maisha tambalare ukijitoa mhanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…