Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisema ukweli ni ukabila ?Siyo kweli, acha ukabila.
Maunga aka ganda, zile ambazo Bashite anajifichia kila akiulizwa kuhusu tuhuma zake!Hivi kuna neno fulani alikuwa analitumia katika komedy zake siku za nyuma ila siku hizi huwa hatumii lina maana gani? " !!!!!!!!!!!MAPOUDOOOOOOO!!!!!!!!!!"
Acha roho mbaya weweUkisema ukweli ni ukabila ?
- Tena hao kina Masanja washukuru maana Mengi angewafunga
Hajasoma uchumiAnalipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
UlimbukeniHajasoma uchumi
OhooUlimbukeni
ukiiiga life style ya mtu lazima upoteeInawezekana kabisa ila usijaribu kuiga kaushamba kake
5m ndogo sn, ww ulishapeleka nn kijijini kwako?Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
mzee wa poda na mtumiaji mzuri, zimempa pesa sana ila amecheza kama Pele kuwa na kiteteo cha ukulima wa mpunga na kuwahudumia kondoo waliopotea zizini..maisha tambalare ukijitoa mhangaHivi kuna neno fulani alikuwa analitumia katika komedy zake siku za nyuma ila siku hizi huwa hatumii lina maana gani? " !!!!!!!!!!!MAPOUDOOOOOOO!!!!!!!!!!"
Msukuma haishagi ushamba mkuu.Pesa anayo ila bado ana kaushamba fulani hivi hakajaisha bado
nieleweshe na mimi pia sijasoma sijaelewa kwanini umemwambia hiviHajasoma uchumi
Ukishajua alafu unafanyaje?5m ndogo sn, ww ulishapeleka nn kijijini kwako?
Anatafuta kwa ajl ya familia yake na sio kijiji, kijiji kina serikali atiiii, na serikalini ukijependekeza sn yatakukuta ya manji, hii nchi sio ya kujionesha etii una hela
Ohoo
Wachumi waoga wa maisha hahaaaa.matajiri wakubwa wengi walikimbia shulenieleweshe na mimi pia sijasoma sijaelewa kwanini umemwambia hivi