Maisha ya Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja mkandamizaji na waliokuwa comedian wenzake

Hivi kuna neno fulani alikuwa analitumia katika komedy zake siku za nyuma ila siku hizi huwa hatumii lina maana gani? " !!!!!!!!!!!MAPOUDOOOOOOO!!!!!!!!!!"
Hilo jiwe gizani vile [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sio kwa mwaka, ni miaka 3, Pesa aitafute kwa shida halafu ww umpangie matumizi? Ww ndugu zako wapo wenye pesa kwani wameisha kusaidia? Yesu alisema maskini tutakuwanao siku zote[emoji35] [emoji35]
Unaelewa maana ya kumpangia mtu au umekurupuka kipuuzi baada ya kula mihogo mchana huu.
 
Naamini mpambanaji huyu anajiandaa kugombea ubunge kwao kule kwa kina Phill kunjombe maana baada ya msiba alibeep kugombea ila anakoelekea atagombea
 
5m ndogo sn, ww ulishapeleka nn kijijini kwako?
Anatafuta kwa ajl ya familia yake na sio kijiji, kijiji kina serikali atiiii, na serikalini ukijependekeza sn yatakukuta ya manji, hii nchi sio ya kujionesha etii una hela
Kwanza serikali imeahidi milioni hamsini kila kijiji.. Hata kimoyo moyo ukikutana nayo utaisoma tu ..
 
Pesa anayo ila bado ana kaushamba fulani hivi hakajaisha bado
Mshamba anatemelea Benz na miradi kibao inafanya kazi,Mimi mjanja nimeajiriwa hata laki 5 kwa mwezi cpati.Wewe je?
Mkulima mzuri haswa namuona pale chimala.
Pesa haiangalii sura.joti anaendelea kuvaa magauni yake hao wengine sijui wapo wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…