Maisha ya Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja mkandamizaji na waliokuwa comedian wenzake

Maisha ya Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja mkandamizaji na waliokuwa comedian wenzake

Nawe si ujiunge na Mason km unaona inalipa acha kijana afurahie jasho lake
 
Katupiga sana gap sisi tunaotambia Vyeti vyetu na GPA zetu kubwa kutwa humu mitandaoni na mitaani tukisaidiwa na tu vi degree, vi masters na vi phd vyetu na uchungu unakuja zaidi kwamba Jamaa hana hata Kidato / Elimu kivile ila katusua na anatuburuza kweli.

Shikamoo Masanja!
hatari sana! Mkuu lazima ufaham kuwa kila mmoja ana bahati yake. Mbona wapo wasomi wanapesa nyingi sana. Ishu ni kujituma bila ya kujali elimu yako. Usikate tamaaa na si lazma uwe na pesa kama za Masanja au Joti . Omba uwe na maisha mazuri tu
 
Pesa anayo ila bado ana kaushamba fulani hivi hakajaisha bado
Ila mie naona kama mtu ameweza kutengeneza hela na anaishi maisha mazuri kwa kuitendea haki hela sidhani kama ni mshamba...nadhani tumelelewa kwenye tamaduni za ukitembea barabarani huku unakunywa juice kwa mrija au kufanya mambo yanayoendana na hayo unachukulia kama unapenda kujionyesha na wengine watakuita mshamba though ukila muwa na karanga utaonekana normal
 
Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Mkuu kutoa ni moyo hata wewe unaweza ukapeleka mchango wako hata kama ni buku 10, tatizo letu tunapenda kupangia matumizi pesa za watu...hata wewe nina imani una kitu chako hata kama ni cha bei rahisi kwa mujibu wa wewe kuna mwingine atakushangaa kwa kusema huyu jamaa anavaa shati la buku 10 wakati yapo kibao ya buku tatu tatu mnadani na hiyo ela si bora angenunua unga apeleke kituo cha watoto yatima
 
Joti yupo JAZA UJAZWE
Jana nimemuona kwenye bango MAKUMBUSHO
 
Sio kwa mwaka, ni miaka 3, Pesa aitafute kwa shida halafu ww umpangie matumizi? Ww ndugu zako wapo wenye pesa kwani wameisha kusaidia? Yesu alisema maskini tutakuwanao siku zote[emoji35] [emoji35]
Tunapenda sana kupangia watu matumizi alafu sijui nani alituambia kwamba mtu akiwa na milioni kadhaa ndo anatakiwa awe mtu wa kugawa fedha wakati hata sie hoehae tunatakiwa tutoe kidogo tulichonacho pia hata ikifika tunazo nyingi ni mwendelezo
 
Back
Top Bottom