WAKU-GOOGLE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 950
- 628
Pesa yake hutakiwi kumpangia matumizi labda kama anafanya maovu kupitia pesa yake.Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
We umepeleka madawati mangapi kijijini kwenu?