gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,048
Teh teh tehWewe ulishawahi kupeleka hata fagio kijijini kwenu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh tehWewe ulishawahi kupeleka hata fagio kijijini kwenu?
Mkuu mimi ninalima na Masanja hapo Ubaruku....Inategemea ulilima nini ndo maana haukupata tarajio lako....Kua na mtaji pekee haitoshi bila usimamizi na aina ya kilimo.Aaah wapi,nimelima mkuu na mtaji mkubwa,wewe najua hujalima unaongea nadharia.
Vipi na wewe bilionea?Mkuu mimi ninalima na Masanja hapo Ubaruku....Inategemea ulilima nini ndo maana haukupata tarajio lako....Kua na mtaji pekee haitoshi bila usimamizi na aina ya kilimo.
WivuUlimbukeni
We ndo wa kumpangia jinsi ya kutumia fedha zake?Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Hivi Kuna mshamba anaemzidi myweather?Ushamba in ukweli anao tena mpenda misifa.huuu uchungaji ni usanii mwingine tena aliona mbali akaona awe mchungaji ale hela ya wajinga kesho utasikia anafungua kanisa ili awachune vzr wajinga.
ukiwa mjanjanja ``una-attract unnecessary attention``Ushamba mwingine ni fursa eti.
Kipato cha wajanja kipo limited na baadhi ya mazingira, lkn mshamba yuko huru
Ujanja bila pesa ni Ushamba.Pesa anayo ila bado ana kaushamba fulani hivi hakajaisha bado
hatari sana! Mkuu lazima ufaham kuwa kila mmoja ana bahati yake. Mbona wapo wasomi wanapesa nyingi sana. Ishu ni kujituma bila ya kujali elimu yako. Usikate tamaaa na si lazma uwe na pesa kama za Masanja au Joti . Omba uwe na maisha mazuri tu
Pesa anayo ila bado ana kaushamba fulani hivi hakajaisha bado
Nimeanza kulima mwaka huu bado sijatanua kama yeye....Nina vyanzo viwili vya kuniingizia pesa mpaka sasa....Naamini ndani ya Miaka mitano ijayo nitakua millionaire....Hasa nitakapoaanza kulima kuanzia Hekta 50.Vipi na wewe bilionea?
Ushaanza kupangia matumizi hela ya mwanaume mwenzio....We ushawahi kupeleka hata chaki kijijini kwenu?!Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
We na ujanja wako huna h3laPesa anayo ila bado ana kaushamba fulani hivi hakajaisha bado
Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Sasa mwenzako alikua billionea msimu wa kwanza tu,halafu ni heka 50 si hekta. Hekta 50 maana yake heka 150.Nimeanza kulima mwaka huu bado sijatanua kama yeye....Nina vyanzo viwili vya kuniingizia pesa mpaka sasa....Naamini ndani ya Miaka mitano ijayo nitakua millionaire....Hasa nitakapoaanza kulima kuanzia Hekta 50.