Maisha ya Gheto Bana...

Maisha ya Gheto Bana...

Secret person

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2019
Posts
242
Reaction score
363
Life ya Gheto bana.

Kuosha Vyombo Ni shughuli pevu hatari.

Kufua Hadi Weekend..hapa Ukizembea siku utakuta Umebaki na nguo moja Tu ya kuvaa.

Ukiwa msela Haupendi Mtu ajue life yako full kutoleta mazoea na Majirani.

Unaweza ukawa na Vitu vyote Ghetto Ila kwenye Kupika Ukalala Njaa au ulashindia Uji.

Kuamka Saa nne kawaida kulala saa 11 Asubuhi kawaida Pia.

Kama sio mkomavu wa akili unaweza kufanya gheto ni sehemu ya Kunyandua Kwa Sana Ila akili ikikomaa sio kila Pisi itafaa kuingia kwako
 
Unikute napika ugali getto, hapo nipo na "singled" yangu nishaandaa dagaa langu matata nasonga ugali wa watu 3 kumbe nakula mwenyewe...
...raha sasa baby apige simu nimekumiss dadeq unatamani masaa yaende fasta ili aje!

Kama umeishi bila kupitia maisha haya kuna kitu kikubwa umemiss
 
Unajikuta kuna muda ukipika ugali mdogo nao hautoshi
 
Unikute napika ugali getto, hapo nipo na "singled" yangu nishaandaa dagaa langu matata nasonga ugali wa watu 3 kumbe nakula mwenyewe...
...raha sasa baby apige simu nimekumiss dadeq unatamani masaa yaende fasta ili aje!

Kama umeishi bila kupitia maisha haya kuna kitu kikubwa umemiss
sehemu pekee ambayo haina vumbi ni kile kinjia cha kuelekea kitandani kulala au kutoka nje manake panakuwa bize sababu ya kupita pita sana ....nje ya hapo sakafu yote ya chumba kinakuwa na vumbi
 
Unikute napika ugali getto, hapo nipo na "singled" yangu nishaandaa dagaa langu matata nasonga ugali wa watu 3 kumbe nakula mwenyewe...
...raha sasa baby apige simu nimekumiss dadeq unatamani masaa yaende fasta ili aje!

Kama umeishi bila kupitia maisha haya kuna kitu kikubwa umemiss
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kuna hyo siku niliunga dagaa asee nilipika ugali wa unga nusu na robo nikasema nitakula kidogo mchana mwingine usiku picha linaanza na kuisha niliula ugali wote mchana...
 
Back
Top Bottom